Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,302
Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"...

Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi kutambua mchango wake kwenye maisha ya Mtakatifu mtarajiwa Mwalimu Nyerere.

Sijasema labda wakitaje CCM kama CHAMA KITAKATIFU lakini hata cheti tu kinatosha (Certificate of recognition). Ikumbukwe CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo waumini wa kanisa katoliki pamoja na wafuasi wa Chama Cha Mbowe.
 
Alianzisha peke yake? Nyie ndio mnaoharibu historia ya Tanzania na kusema alipigania uhuru wakati hakuwa peke yake, ulitakiwa useme akiwa mmoja ya waasisi wa CCM.
 
Je, Wakatoliki wanajukumu la kumtangaza mtu mtakatifu kama mungu mwenyewe hajamtangaza? Angalia mfano mtakatifu rita wa kashia, alikufa ametabasamu, akawa ananukia manukato ambayo hayajawahi kuwepo duniani, tetemeko liliikumba nchi yake kaburi la rita likafunguka, Rita akasimama akatabasamu tetemeko likaisha.

Je, huyo alitangazwa na watu au Mungu mwenyewe? Basi tuambie matukio mliyo kutana nayo kuhusu nyerere huenda tutaamini.
 
Back
Top Bottom