Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Heshima kwenu wakuu.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4 basi.

Kuanzia mwezi wa 6+ mambo yakaanza kubadilika tena kwa kasi ya ajabu. Kutoka mwezi huo wa 6 hadi sasa mtaji umekuwa ukikua na sasa nimefikia uwezo wa kuingiza dukani mzigo wa milioni 2+.

SASA NATAKA NIANZE KUWA NANUNUA BIDHAA MWANZA KWENYE MADUKA AU MACHIMBO AMBAYO HAWA WAFANYA BIASHARA WANAOTUUZIA JUMLA JUMLA HUKU UKEREWE WANAPONUNUA LAKINI SASA SIJUI YALIPO HAYO MADUKA AU MACHIMBO.

Je, wanaonunua mizigo yao yote pamoja?? Yaani anaponunua ngano hapo hapo anaenunua sukari, mafuta ya kula, vinywaji baridi, lotion na mafuta mgando au wananunua kila category ya bidhaa kivyake??

Naomba kwa anaejua maduka au machimbo wanaponunua hawa wafanya biashara wa jumla kwa mkoa wa MWANZA anielekeze.

Je, kuna kiwango ambacho lazima ufikie ili mtu aweze kununua huko??

Kwa mkoa wa Mwanza wapi nipate ngano?
Wapi nipate vinywaji baridi?
Wapi nipate sukari?
Wapi nipate mafuta ya kula

Vyote kwa bei ambayo na mimi naweza kuja kuuza kwa jumla ??

Pia NATAFUTA WAUZA NAFAKA KWA BEI YA JUMLA WA JIJINI MWANZA.

Karibuni
 
Ukerewe ! Wewe ni mzaliwa wa huko au upo tu kikazi ????

Ni moja ya sehemu ambazo Tz hiii panasifika sana kwa uchawi ,,,,
 
Hongera lakini nasikitika unataka kupotea wala sitokupa mfano kama mzigo wa laki mbili ulikuwa unakupa faida au laki 4 mpaka ukafikisha m2 kwa nn unataka kubadili njia yako ya biashara USIKURUPUKE BAKI NJIA YAKO HIYO HIYO JIPANGE MTAJI HUO BADO MDOGO KWANZA MWANZA WANAWEZA KUKUCHOREA RAMANI WAKAKUINGIZA KINGI IJAPOKUWA NAFAHAMU UNA DAWA
 
tumpe hongera ,
 
Dah bro umeshauri nini hapa ?
 
Heshima kwenu wakuu.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4 basi.

Kuanzia mwezi wa 6+ mambo yakaanza kubadilika tena kwa kasi ya ajabu. Kutoka mwezi huo wa 6 hadi sasa mtaji umekuwa ukikua na sasa nimefikia uwezo wa kuingiza dukani mzigo wa milioni 2+.

SASA NATAKA NIANZE KUWA NANUNUA BIDHAA MWANZA KWENYE MADUKA AU MACHIMBO AMBAYO HAWA WAFANYA BIASHARA WANAOTUUZIA JUMLA JUMLA HUKU UKEREWE WANAPONUNUA LAKINI SASA SIJUI YALIPO HAYO MADUKA AU MACHIMBO.

Je, wanaonunua mizigo yao yote pamoja?? Yaani anaponunua ngano hapo hapo anaenunua sukari, mafuta ya kula, vinywaji baridi, lotion na mafuta mgando au wananunua kila category ya bidhaa kivyake??

Naomba kwa anaejua maduka au machimbo wanaponunua hawa wafanya biashara wa jumla kwa mkoa wa MWANZA anielekeze.

Je, kuna kiwango ambacho lazima ufikie ili mtu aweze kununua huko??

Kwa mkoa wa Mwanza wapi nipate ngano?
Wapi nipate vinywaji baridi?
Wapi nipate sukari?
Wapi nipate mafuta ya kula

Vyote kwa bei ambayo na mimi naweza kuja kuuza kwa jumla ??

Pia NATAFUTA WAUZA NAFAKA KWA BEI YA JUMLA WA JIJINI MWANZA.

Karibuni
Pamoja na kuelekezwa hapa, lakini uwe na tahadhari kwani unaweza kuelekezwa sehemu ambayo utapigwa kiaina. Au labda ni wewe ni kama wale ''wasukuma'' wachafu tunaokutana nao mjini wakiuza dhahabu lakini hawajui wauze wapi?
 
Heshima kwenu wakuu.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4 basi.

Kuanzia mwezi wa 6+ mambo yakaanza kubadilika tena kwa kasi ya ajabu. Kutoka mwezi huo wa 6 hadi sasa mtaji umekuwa ukikua na sasa nimefikia uwezo wa kuingiza dukani mzigo wa milioni 2+.

SASA NATAKA NIANZE KUWA NANUNUA BIDHAA MWANZA KWENYE MADUKA AU MACHIMBO AMBAYO HAWA WAFANYA BIASHARA WANAOTUUZIA JUMLA JUMLA HUKU UKEREWE WANAPONUNUA LAKINI SASA SIJUI YALIPO HAYO MADUKA AU MACHIMBO.

Je, wanaonunua mizigo yao yote pamoja?? Yaani anaponunua ngano hapo hapo anaenunua sukari, mafuta ya kula, vinywaji baridi, lotion na mafuta mgando au wananunua kila category ya bidhaa kivyake??

Naomba kwa anaejua maduka au machimbo wanaponunua hawa wafanya biashara wa jumla kwa mkoa wa MWANZA anielekeze.

Je, kuna kiwango ambacho lazima ufikie ili mtu aweze kununua huko??

Kwa mkoa wa Mwanza wapi nipate ngano?
Wapi nipate vinywaji baridi?
Wapi nipate sukari?
Wapi nipate mafuta ya kula

Vyote kwa bei ambayo na mimi naweza kuja kuuza kwa jumla ??

Pia NATAFUTA WAUZA NAFAKA KWA BEI YA JUMLA WA JIJINI MWANZA.

Karibuni
Kwa Mwanza mtafute Hamood....ni agent wa azam....utashukuru jf kiujumla
 
Hongera lakini nasikitika unataka kupotea wala sitokupa mfano kama mzigo wa laki mbili ulikuwa unakupa faida au laki 4 mpaka ukafikisha m2 kwa nn unataka kubadili njia yako ya biashara USIKURUPUKE BAKI NJIA YAKO HIYO HIYO JIPANGE MTAJI HUO BADO MDOGO KWANZA MWANZA WANAWEZA KUKUCHOREA RAMANI WAKAKUINGIZA KINGI IJAPOKUWA NAFAHAMU UNA DAWA
Dawa gani na imeingiaje hapa
 
Back
Top Bottom