Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Oct 11, 2023
338
652
Habari zenu.

Kiufupi, Kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu maisha ya sisi vijana, haswa tuliopo kwenye age ya 20-30, nahisi kuna kitu hakipo sawa, either kwa upande wangu au kwa upande wa wenzangu.

Unakuta vijana wenzangu(rika langu) wapo extremely active kweny masuala ya sex, mfano kuna wanangu yaan daaah sijui wana "High sexual-drive", unakuta kwa mwezi wanaweza fanya mapenzi zaidi hata ya mara kumi, Mimi kwa mwaka naweza hata isifike mara kumi, na ikizidi mara kumi bac ujue kuna demu alikuwa ananisumbua sana, au free-time ilikuwa nyingi.

Hii hali haipo tuu kwa vijana wa kiume, hata kwa vijana wa kike, tena kwa wanawake ndo usiseme, ni kama uhuru wa manyani. Unakuta sometimes hadi naogopa kuingia kweny mahusiano mapya nikiwaza jinsi ilivotembezwa kwa wadau mbalimbali.

Sio kwamba sina demu, hapana ninae ila najikuta tuu wiki na miezi inapita tuu wala siwazi hayo mambo.

Sasa ninachilojiuliza mm hapa ni kwamba, Je, mimi ndio nina shida au vijana wa siku hizi ni hypersexual??

(Unajua kusema ukweli sometimes huwa nawazaga hii hali yangu maybe ni mungu tuu ananiepusha na magonjwa ya ngono na kuumizwa moyo)
 
Habari zenu.

Kiufupi, Kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu maisha ya sisi vijana, haswa tuliopo kweny age ya 20-30, nahic kuna kitu hakipo sawa, either kwa upande wangu au kwa upande wa wenzangu.

Unakuta vijana wenzangu(rika langu) wapo extremely active kweny masuala ya sex, mfano kuna wanangu yaan daaah sijui wana "High sexual-drive", unakuta kwa mwezi wanaweza fanya mapenzi zaidi hata ya mara kumi, Mimi kwa mwaka naweza hata isifike mara kumi, na ikizidi mara kumi bac ujue kuna demu alikuwa ananisumbua sana, au free-time ilikuwa nyingi.

Hii hali haipo tuu kwa vijana wa kiume, hata kwa vijana wa kike, tena kwa wanawake ndo usiseme, ni kama uhuru wa manyani. Unakuta sometimes hadi naogopa kuingia kweny mahusiano mapya nikiwaza jinsi ilivotembezwa kwa wadau mbalimbali.

Sio kwamba sina demu, hapana ninae ila najikuta tuu wiki na miezi inapita tuu wala siwazi hayo mambo.

Sasa ninachilojiuliza mm hapa ni kwamba, Je, mm ndo nina shida au vijana wa sikuiz ni hypersexual??

(Unajua kusema ukweli sometimes huwa nawazaga hii hali yangu maybe ni mungu tuu ananiepusha na magonjwa ya ngono na kuumizwa moyo)
Huna shida ila shukuru Mungu kuna wanaokusaidia kwa huyo demu wako.
 
Huna shida ila shukuru Mungu kuna wanaokusaidia kwa huyo demu wako.
gta-san-andreas-gta.gif
 
Sasa ninachilojiuliza mm hapa ni kwamba, Je, mm ndo nina shida au vijana wa sikuiz ni hypersexual??
1) Vijana wanaangalia Picha za Ngono sana

2) Ngono imekuwa rahisi kuipata, maana kuna Machangu wanauza mpka 3000 Mbususu

3) Hofu ya MUNGU haipo kwenye Dunia ya sasa

4) Watu wanaona sifa kufanya mapenzi (Kusifiwa na watu).

6) Wanawake wanatumia ngono kama chanzo cha mapato

HIZO NDIO SABABU KUBWA ZA WATU KUFANYA UZINZI SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwa maana hio, wao ndio wenye matatizo si ndio??
 
Mkuu Kwa mwaka mara 10????🤔Sasa pussy ya shemeji siunafutaga vumbi kwanza kabla yakula?Anyway unachapiwa kishenzi,maana Kuna manzi wanataka kama dozi kutwa mara 3
Hayo mambo ya kugongewa ndo huwaga siwazi kabisa, mwache akaliwe, mwanamke akiamua ku-cheat kaamua mzee, atakusaliti tuu hata umfanyie monitoring ya namna gani, kuwa washkaji zangu wapo sexually active na mademu zao na bado demu ana cheat.

Kutwa mara tatu??
Ndo maana nimesema maybe vijana wenzangu wana high sexual-drive.
 
wewe ndio utakuwa una shida kiongozi wangu,maana tendo hilo ukikaa siku kadhaa ni mwili tu wenyewe utajikuta unakusukuma ufanye yaani maji yamejaa yanatakiwa yamwagwe,sasa wewe ina maana hupatwi na hiyo hamu? yaani dudu kukusumbua sumbua ? au unalishibisha kwa njia gani?

lazima utakuwa una namna yako ya kujimalizia hiyo hamu au genye kwa jina maarufu.
 
Nina experience sana na haya masuala
Mwili utakavyouzoesha ndivyo utazoea

Niliwahi kuishi maisha ya sex kila siku asubuhi na usiku sex mwili ulizoea hivyo ilikuwa ikitokea nikae siku mbili bila sex hali inakuwa mbaya sana nitaforce kwa namna yoyote ili nipate sex
Lakini nilikuja kukaa sehemu bila sex kwa mda wa mwaka mzima bila sex wala puchu
Mashine ikianza kusumbua ukikaza kwa kipindi fulani mwili unakaa sawa hiyo hali inaondoka
 
Kwann kila mtu anahisi nakula nyeto?

Hapana mzee sifanyagi
Kwa sababu wengi tunajua mtu akishabalehe na akiwa hana tatizo lolote ni ngumu sana kukaa muda mrefu hivyo bila kufanya mapenzi, hata kama kuna sheria kali zinakubana mahali ulipo, lakini pia kuna nguvu kubwa ya kiungo hicho yaani uume itakuwa ina kusukuma uitafutie chakula chake maana ndio ilivyoumbwa lazima apate ile kitu inayommeza mwenzie. Shida kubwa manii zitoke tu kwa muda ule, ndio pale wengi wasiofanya mapenzi wanapiga punyeto kuzitoa na hapo mtu atajiskia mwepesiiiiii... na kuna watu wengine wamezuiwa hata kufanya tendo hilo na imani za dini zao lakini mwisho wa siku wanashindwa kuidhibiti hamu hiyo wanadumbukia kwenye kufanya ngono.

Ila haya ni mawazo yangu tu na sina utaalam wowote juu ya masuala ya mifumo hiyo ya uzazi na kuzalisha hizo hamu kwahiyo huenda ikawa ni kweli ukijizoesha ndio unakuwa na genye kali huwezi kuvumilia mpaka ufanye ama huenda pia binadam tuko tofauti kwenye kuweza kuzimudu kuzidhibiti hamu hizo huenda kuna wengine wanakuwa wanaweza kama wewe wala hupati shida. Akipatikana mtaalam wa masuala hayo nafikiri ndio atatupa jibu zuri zaidi maana sisi wengine ni walewale tu ukikaa siku tatu mpaka nne lazima uteseke uamue ukatafute au ujimalizie mwenyewe, na hapo kwenye kujimalizia mwenyewe kwa mkono kwa watu wa kundi hilo utakuwa umejichochea moto maana asubuhi utaamka na zaid ya jana.

Kwahiyo endelea kusoma comment bro tujifunze zaidi kwa watu wengine.
 
Umeshauriwa sana, nimechelewa ila nakazia, kama una msichana unakaa nae, MTOMBE. Usirudie tena kusema hapa, eti mara kumi, baba zetu tu, wanakaza kisawa sawa. Maara kumi si in a week umemaliza. Yaani ulitakiwq kusema wewe kukaza mara kumi kwa week hufiki ila wenzako wanaweza. Na hii ni kwa mtu mwenye mademu wawili na kuendelea.

Kwa mwaka unatakiwa ukaze zaidi ya mara 100
 
Back
Top Bottom