haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  2. Haya machungwa vipi?

    Ukweli ni kwamba tangu nizaliwe hadi sasa naelekea utu uzima wenyewe sijawahi ona haya machungwa. Nachojua machungwa aidha yawe matamu au machachu, ila hayakosi maji. Sasa haya sijui ya wapi. Na ni mwaka jana na huu tu ndio nimeanza kuyaona. Chungwa kwanza kubwa, halafu gumu, kuonyesha kabisa...
  3. Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake. Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga 1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani. 2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini...
  4. K

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  5. Je, wajua haya kuhusu Mkoa wa Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  6. Mpira ni heshima, kujitoa moyo na subra. Bila haya mambo hutoboi

    Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka. Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
  7. Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya? Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
  8. R

    Wananchi wa Majimbo haya mmeshaandaa wagombea?

    Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025. 1. Mbeya Mjini 2. Moshi Mjini 3. Kibamba 4. Kawe 5. Nyamagana 6. Ilemela 7. Shinyanga town 8. Kaliua 9. Urambo 10. Sikonge 11. Tabora mjini 12. Majimbo yote ya Mtwara 14. Majimbo yote ya Singida 15...
  9. Magari yanayosambaza maji yanamilkiwa na nani?

    Kuna magari yanasambaza maji na wanasambaza sehemu yenye shida za maji. Dawasa naomba kujua yanamilikiwa na nani, mbona hawasambazi Masaki ama Oysterbay.
  10. Kwa haya Majibu ya Israel, Watafungwa miaka mingi sana hawa jamaa gerezani

    Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha. Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza...
  11. Ujenzi wa Haya Mashimo ya Choo ni Bora, Tuambieni Tusije Kujichanganya

    Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae: Sifa zake wanasema. 1. Hayajai kamwe 2. Hanachukua Sehemu ndogo
  12. Eric Prince asema ni wakati Afrika itawaliwe tena. Haya ni matusi, lakini inafikirisha

    Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu. Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote. Kauli hii inasikitisha. Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
  13. Soma haya ujifunze bure katika maisha yako na uyazingatie

    1. Punguza marafiki kwa sababu wapo marafiki ambao wanaweza kua vikwazo vya mafanikio yako na hauwezi kuwajua unapo kua nao na kuishi nao na kula nao unacheka nao na wengine unalala nao wengine hata unajinyima kula ili wale wao lakini ndo namba moja kwa kugeuka kujifanya rafiki huku...
  14. B

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja. Atafute watu sahihi wa kumsimamia nyuma yake. Ninamuona ana kipaji kikubwa lakini kuna marekebisho...
  15. Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu? Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
  16. Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  17. Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine. Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
  18. Haya maradhi sasa imekuwa too much!

    Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua! Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila...
  19. Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha: 1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia 2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri 3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji 4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia 5. Inga Dams...
  20. Maneno aliyoambiwa Kandili haya!

    Alipoona Kandili hajibu neno aliongeza, “Nitakuibia siri yetu wanawake. Sisi huwaweka wanaume wote katika mafungu matatu. Fungu la kwanza ni la wale wanaume ambao tunawapenda kwa dhati. Wanaume ambao tuko tayari kuishi nao kwa heri au shari. Kundi la pili ni la wanaume wazuri wa sura ya umbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…