Ujenzi wa Haya Mashimo ya Choo ni Bora, Tuambieni Tusije Kujichanganya

FabNXTzqEtcgazfbjjfo

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,472
1,828
Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae:

Sifa zake wanasema.

1. Hayajai kamwe
2. Hanachukua Sehemu ndogo

Ipo hivi,Hapo huwa kuna mifumo miwili ili kuwezesha kufanya kazi.

1.Maji ya Chooni/Kinyesi huenda kwenye shimo la kwanza tu.
Ambapo kawaida kwenye kinyesi huwa kuna bakteria wanaotafuna vinyesi.
-hao baketria huwa hawataki oksijeni, ndiyo maana mashimo yake uzibwa kwa zege,hewa isiingie.

2.Maji machafu ya kuoga na Jikoni, huwa kwenye shimo lingine, upande mwingine wa shimo. Kwani haya huwa na detergent ambayo yakiingia kwenye maji ya kinyesi, Huua wale bakteria.
 
ONYO:
kama eneo lako lipo chini ya mita 2 kutoka usawa wa bahari,usijenge mfumo huu.
-Maji hutuwama sawa na Level ya bahari.
Huu mfumo haufai kwa maeneo yafuatayo
-Maeneo ya Msasani,Mikocheni,Kilongawima,Ununio,Kawe makao Mapya
Maeneo ya mabonde ya mito,
 
UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA

Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!

Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?

Njoo Nikupe Ukweli sasa!

Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!

Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!

Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!

Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4

Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!

Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei cheap ujue kabisa lazima utagharamika sana baadae! Fanya vitu kwa weredi....Kama unataka vitu vizuri andaa bajeti inayoeleweka na inayotosha!

Unataka Vyoo visivyo Jaa kwa bei Ya vyoo vya kawaida huwezi kupata! Ni vizuri kujua kwamba matofari yenye uwazi sio Suluhisho la Kujaa kwa mashimo HaYa....kuna Utaalamu wake.....

Kama unahitaji huduma hii kwa Dsm utaipata kwa Million 1.2 na mikoani utaipata kwa Million 1.4 ...Tunakuja kwa nauli zetu Popote ulipo!

Cont : 0789005562

Wasap : Wa.me/255789005562

Facebook &Instagram na kwingineko natumia KELVIN HK

Kelvin Hk
IMG_20240315_110652.jpg
IMG_20240315_110639.jpg
FB_IMG_1707212267940.jpg
FB_IMG_1707212272478.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240315-124653.jpg
    Screenshot_20240315-124653.jpg
    96.4 KB · Views: 5
UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA

Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!

Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?

Njoo Nikupe Ukweli sasa!

Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!

Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!

Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!

Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4

Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji23.png
na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!

Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei

UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA

Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!

Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?

Njoo Nikupe Ukweli sasa!

Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!

Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!

Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!

Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4

Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!

Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei cheap ujue kabisa lazima utagharamika sana baadae! Fanya vitu kwa weredi....Kama unataka vitu vizuri andaa bajeti inayoeleweka na inayotosha!

Unataka Vyoo visivyo Jaa kwa bei Ya vyoo vya kawaida huwezi kupata! Ni vizuri kujua kwamba matofari yenye uwazi sio Suluhisho la Kujaa kwa mashimo HaYa....kuna Utaalamu wake.....

Kama unahitaji huduma hii kwa Dsm utaipata kwa Million 1.2 na mikoani utaipata kwa Million 1.4 ...Tunakuja kwa nauli zetu Popote ulipo!

Cont : 0789005562

Wasap : Wa.me/255789005562

Facebook &Instagram na kwingineko natumia KELVIN HK

Kelvin HkView attachment 2938567View attachment 2938568View attachment 2938570View attachment 2938575
Ukweli ulioweka hapo ni upi sasa...?

Kuna maeneo hiyo system inafeli, haifanyi kazi siyo kisa gharama ya chini ila ardhi yake hairuhusu kunyonya maji....

-Nenda Mikocheni Darajani au Msasani bonde la mpunga kaweke hiyo kitu uone,
Lazima muwajuze wateja penye ukweli and siyo kudanganya tu...
 
Ipo hivi,Hapo huwa kuna mifumo miwili ili kuwezesha kufanya kazi.

1.Maji ya Chooni/Kinyesi huenda kwenye shimo la kwanza tu.
Ambapo kawaida kwenye kinyesi huwa kuna bakteria wanaotafuna vinyesi.
-hao baketria huwa hawataki oksijeni, ndiyo maana mashimo yake uzibwa kwa zege,hewa isiingie.

2.Maji machafu ya kuoga na Jikoni, huwa kwenye shimo lingine, upande mwingine wa shimo. Kwani haya huwa na detergent ambayo yakiingia kwenye maji ya kinyesi, Huua wale bakteria.
Short and Clear
 
UKWELI KUHUSU MASHIMO YA KISASA

Siku hizi kumekuwa na MATANGAZO mengi sana yanayoelekeza kuhusu mashimo Haya Tunayoita Ya Kisasa YasiyO jaa!

Umeshajifunza nini kuhusu Suala hili?!?

Njoo Nikupe Ukweli sasa!

Ukweli ni kwamba Haya Mashimo YanaJaa Ila kujaa kwake Yanachukua muda mrefu sana! Makadirio ni Miaka 50 na kuendelea!

Tunasema Hayajai kwa sababu Yanachelewa kujaa! Ila kuna Namna ya Kujenga ili Yasijae! Sio kila eneo Ujenzi unalingana!

Kuna sehemu Zenye mawe mawe Au ni Pagumu kama Maeneo Ya Musoma...Tabora....Mwanza....na maeneo Mengine kama Dodoma au Hata hapa kigamboni Dsm....So ujenzi wa Kigamboni utakuwa tofauti na Chamazi na ujenzi wa Mwanza utakuwa tofauti na Mikoa ya Pwani hii Yote ni kwa sababu Ardhi zetu hazifanani!

Kuna watu wanasema Wanajenga kwa Laki 8 kila kitu kwao....na Wengine Wanasema wanajenga kwa million 1 kila kitu kwao halafu kuna mimi nasema Nahitaji Million 1.2 kwa Dsm na Mikoani nakuja Kwa million 1.4

Bei zinatofautiana kulingana na ugumu au wepesi wa kazi! Kuna shimo niliitwa kurekebisha mwanaNyamala Aliambiwa halijai ila likajaa na alilipwa laki 8 alipoitwa Akaenda na akajaribu kusolve ikashindikana!

Nakukumbusha tu ukitaka vitu Vya Bei cheap ujue kabisa lazima utagharamika sana baadae! Fanya vitu kwa weredi....Kama unataka vitu vizuri andaa bajeti inayoeleweka na inayotosha!

Unataka Vyoo visivyo Jaa kwa bei Ya vyoo vya kawaida huwezi kupata! Ni vizuri kujua kwamba matofari yenye uwazi sio Suluhisho la Kujaa kwa mashimo HaYa....kuna Utaalamu wake.....

Kama unahitaji huduma hii kwa Dsm utaipata kwa Million 1.2 na mikoani utaipata kwa Million 1.4 ...Tunakuja kwa nauli zetu Popote ulipo!

Cont : 0789005562

Wasap : Wa.me/255789005562

Facebook &Instagram na kwingineko natumia KELVIN HK

Kelvin HkView attachment 2938567View attachment 2938568View attachment 2938570View attachment 2938575
Umeandika mambo mengi sana, hiyo gharama inajumuisha materials zote?
 
Kuna yake wanajenga Kwa kupanga mawe tu , Yale naona yanafanya vizuri zaidi urefu fut 12 . Eneo la chini linakuwa na upana kuanzia futi 3-4 alafu juu futi 10 -12
 
Ukweli ulioweka hapo ni upi sasa...?

Kuna maeneo hiyo system inafeli, haifanyi kazi siyo kisa gharama ya chini ila ardhi yake hairuhusu kunyonya maji....

-Nenda Mikocheni Darajani au Msasani bonde la mpunga kaweke hiyo kitu uone,
Lazima muwajuze wateja penye ukweli and siyo kudanganya tu...
Sehemu zenye unyevu na maji maji tunatumia karavati kwenye ujenzi wa haya mashimo!
 
Hivi unapajua bonde la Mpunga 😂😂😂,Yani ukachimbe shimo bonde la Mpunga,,,
Hii ni mechanical system, inayotegemea gravity na altitude....

Sehemu zenye sifa zifuatazo,hii SYSTEM haifanyi kazi
  • High water table :within 1Metre kutokea usawa ardhi
  • Altitude chini ya 1 Metre
Mikocheni-Darajani,
Msasani-Bonde la Mpunga,
Mbezi-Juliana,
Kunduchi-Mtongani ya chini...hii system haifanyi kazi
Hayo maeneo siyo yana unyevu, ni yana maji.
Kuweka Mawe au Caravat hakuna mechanisms mpya unayo introduce.
Maji hayawezi kufyonzwa below water level ya bahari (hii ni fact)
 
Back
Top Bottom