Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Msomi, 😊.
Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba...
Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura ya 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani, Sura ya 148.
Muswada huu umegawanyika katika...
Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali Tanzania bara kati ya viti 214 upinzani uliambulia viti viwili pekee mpaka Unyanyembe wakaja na...
Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable."
Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable."
Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa.
Hatuwezi kuwa...
Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani.
Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa.
Ni lini viongozi wetu watakuwa...
Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi.
Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya.
Juzi...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10.
Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.
𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗳𝘂𝗽𝗶 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟲 𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼:
🔘 Mwonekano mpya
🔘 Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea.
Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika...
Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi, nikafeli, nikaamua kurudi kijijini.
Nikakuta matatizo ni yaleyale, nimekaa vijijini na kushuhudia...
Kwanza pokea pongezi za dhati nimepita wilayani ludewa mwezi uliyopita nimeona eneo la hospitali ya wilaya ni kubwa na majengo ya watumishi.
Ujenzi wa jengo la mochwari unaendelea hongera. Lakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta...
Ogopa mambo haya matatu!
Anaandika, Robert Heriel.
Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana!
Mambo hayo ni:
1. Dhambi
2. Umasikini
3. Ujinga
1. Dhambi/Uovu/ uhalifu
Katika maisha yako ogopa...
Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa.
Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla.
Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.