Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 1,206
- 3,876
Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine.
Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija kukuomba umsaidie kodi ya nyumba chap unampa kwa nini usimuekee mshahara wake akajibudget mwenyewe? Na mtu huyu anaingia kazini kuanzia saa kumi na moja had saa moja wakat mwengine saa mbili jioni haki this is not fair at all
walimu poleni sana.