Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,825
Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua!

Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee! Tutakaaje sasa!?🤣

Mbona kila siku tunapigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali?

Tumuombe sana Mwenyezi Mungu kwakweli atujaalie mwisho mwema maana kufa ni lazima ila haya mateso siyo lazima!
 
Hapana kiongozi, mimi nipo kijijini+ lakini mambo ya Dar yote tunaexperience sijui hata tumewakosea nini hawa watu wa Dar mpaka watuletee huku
Matumbo ya lini hiyo? Mbona ilipita kimya? Macho mekundu Dar peke yenu… Dar mnapitia mengi jaman
 
Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua!

Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee! Tutakaaje sasa!?🤣

Mbona kila siku tunapigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali?

Tumuombe sana Mwenyezi Mungu kwakweli atujaalie mwisho mwema maana kufa ni lazima ila haya mateso siyo lazima!
Tumwombe mungu au tufanye tafiti? Africa bhana
 
Wakati mwingine Mungu anatupitisha kwenye Mitihani ili walau kupata nafasi ya kumkumbuka kwamba alikwepo/yupo/ataendelea kuwepo.

Kama anaweza kuhamisha milima, vipi kuhusu hayo maradhi madogo ya macho/matumbo.
Kuna mitihani haibebeki. Tiktok kuna msanii anaitwa Hawa, b4 hapo sijawahi kumfahamu.
Nimeanza kumuona hivi wanavyompost post na maradhi yake.
Haelewi haswa chanzo cha ugonjwa, ila unaambiwa amefanyiwa operation 22 za tumbo 🥹😭
Mara mshono ufumukuke. Yan ni heka heka nzito
 
Polee sana ila sisi huku kigamboni hatuna maradhi ya ajabu ajabu huku hakuna aliye umwa macho kuwa mekundu ila kipindi cha korona mji mzima tuliwekwa karantini sio powa🤣😁😂
 
Back
Top Bottom