Mpira ni heshima, kujitoa moyo na subra. Bila haya mambo hutoboi

Doto12

JF-Expert Member
Nov 2, 2023
268
568
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.

Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake alipaswa awesome kwenye kikosi hichi
Screenshot_20240320_145054_Chrome~3.jpg

Tutake tusitake jeuri kibri na dharau kukosa uvumilivu ndiyo vimeganya hajaitwa.

Hawa vijana wa siku hizi ni wapuuz sana. He ruined all his reputation. Kisa kutojituma na kubishana na mwalimu.

Hapa nataka.poa niseme mwalimu A akikuona huna adabu mwalimu B atakuona kirusi.

Pogba alikuwa hiv hiv
 
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.

Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake alipaswa awesome kwenye kikosi hichi
View attachment 2939967

Tutake tusitake jeuri kibri na dharau kukosa uvumilivu ndiyo vimeganya hajaitwa.

Hawa vijana wa siku hizi ni wapuuz sana. He ruined all his reputation. Kisa kutojituma na kubishana na mwalimu.

Hapa nataka.poa niseme mwalimu A akikuona huna adabu mwalimu B atakuona kirusi.

Pogba alikuwa hiv hiv
borusian detmold.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom