Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP.
Utekaji huo wa idadi kubwa ya watu katika jimbo la Katsina unasemekana ndio mkubwa katika...
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
Hii ya Leo aisee tufanye imevunja rekodi na haijawahi kutokea popote yaani tumevamiwa na shughuli mbili.
Ya kwanza ni ndoa ya kiislam tena ni mapacha wanaolewa siku moja na wanaume wawili tofauti, ni ndoa ya kiislam hapa nipo live Navizia nidoee doee tea na mandazi na baadae ubweche.
Cha...
Habari wanajamii,
Mimi ni software developer, nilikuwa nina idea ya kutengeneza app/tool ya kusaidia kufuatilia na kukumbusha watu ahadi za michango kwa ajili ya harusi na sendoff.
App ina lengo la kutatua kero zifuatazo kwa mtu anayefuatilia, kukusanya na kutoa taarifa za makusanyo ya...
Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga.
Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI.
Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu...
Hii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao. Unakuta Kuna kipande fulani kinachukuliwa na mc katika video ya shughuli bwana Harusi na Bibi Harusi mnajikuta ghafla mnatrend mtandao iwe Ni kwa kituko au kwa uzuri.
Madhara yake kwa wahusika. Inaweza...
Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori.
Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha...
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia.
Hiyo biashara imejigawa pande...
Habari jamani, mnaendeleaje? Hebu acha niende moja kwa moja kwenye hoja.
Iko hivi, miezi kama miwili au mitatu katika kupiga stori za hapa na pale one of my colleagues (KE) akaniambia unajua fulani anaolewa na fulani (wote wanafanya kazi pamoja)? Nilifurahi kwa mshangao maana sikuwahi kujua...
Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
Habari za zenu wana MMU,
Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa!
Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.
Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.
Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
Habari wakuu, ni katika hali ya kunishangaza leo nimepokea kadi ya mchango kutoka kwa jirani yangu ambae anatarajia kufunga ndoa.
Nimepokea kadi hii na shughuli yao inaonekana inafanyika mwezi ujao, Hii ni kadi ya kwanza napokea ya kuhusu haya masuala toka nizaliwe 23years ago maana nilizoea...
Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao.
Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa.
Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi.
Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers.
Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo
Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Arusha
Kilimanjaro
Mbeya
Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.