Mar 13, 2024
14
20
Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki)

Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na 500,000/=.

Tunapatikana KARIAKOO, manyema na mchikichi street - Dar es salaam. Tupo nyuma ya jengo la Simba sports clubs.

Wasiliana nasi WhatsApp/call/sms: 0712878245

KARIBUNI WOTE MJIPATIE SUTI ZENYE UBORA WA HALI YA JUU
 

Attachments

  • IMG-20240304-WA0063.jpg
    IMG-20240304-WA0063.jpg
    356.4 KB · Views: 9
  • IMG-20240229-WA0053.jpg
    IMG-20240229-WA0053.jpg
    270.8 KB · Views: 9
  • IMG-20240313-WA0036.jpg
    IMG-20240313-WA0036.jpg
    56.4 KB · Views: 8
  • IMG-20240313-WA0007.jpg
    IMG-20240313-WA0007.jpg
    155.7 KB · Views: 10
  • IMG-20240313-WA0008.jpg
    IMG-20240313-WA0008.jpg
    105 KB · Views: 9
  • IMG-20240218-WA0066.jpg
    IMG-20240218-WA0066.jpg
    81.3 KB · Views: 11
  • IMG-20240307-WA0010.jpg
    IMG-20240307-WA0010.jpg
    59.4 KB · Views: 11
  • IMG-20240227-WA0085.jpg
    IMG-20240227-WA0085.jpg
    156.3 KB · Views: 8
  • IMG-20231010-WA0024.jpg
    IMG-20231010-WA0024.jpg
    147.7 KB · Views: 7
  • IMG-20240207-WA0081.jpg
    IMG-20240207-WA0081.jpg
    100.2 KB · Views: 8
  • IMG-20240304-WA0079.jpg
    IMG-20240304-WA0079.jpg
    342.3 KB · Views: 6
  • IMG-20240222-WA0033.jpg
    IMG-20240222-WA0033.jpg
    318 KB · Views: 8
Habari wakuu
Moja kwa Moja kwenye topic ya Leo. Nikiwa kama muuzaji suti Tanzania na nje ya nchi napenda kuwakumbusha wateja wangu kuhusu heshima ya vazi la suti.

1. Marufuku kuvaa suti na ndara au yebo yebo au makubazi.

2. Ukivaa suti acha kuongea ongea ovyo. Maneno mengi achia watu wa t-shirt😂

3.Ukivaa suti usipande bodaboda au baiskeli hata kama ni lift. Kama huna gari angalau panda bajaji.

4. Ukivaa suti usikimbie au kutembea haraka haraka. Unaharibu mkuu

5. Kama una kitambi Ukivaa suti usifunge kishikizo utaonekana kama furushi la bangi😂😂.

6. Ikitokea umepanda daladala, ni marufuku kugombana na kondakta kisa chenji ya sh. 100/=

7.Kama umepanda daladala hakikisha unakaa. Acha kusimama kama hakuna seat za kukaa bora usipande daladala au vua suti😂.

8. Ukivaa suti acha Kula barabarani, usile hovyo hovyo miwa, mahindi ya kuchoma n.k

9. Ukivaa suti hakikisha unakunja nne mahali utakapokaa.

10. Ni marufuku kupeana Tano ukiwa umevaa suti. Just shake hand.

11. Kama una matege usimodoe sana suruali.

12. Ni laana kuvaa suti halaf unauliza mtu barabarani muda. Vaa saa ya mshale sio ya kukonyeza

13. Ukivaa suti be smart nyoa vizuri kata kuchat halaf nukia.

Sheria za SUTI zipo nyingi sana. Kama umependa na unatamani nitoe Sheria nyingi zaidi za suti comment hapo chini lakini usisahau kunicheki kwa mahitaji ya suti za kiume .
WhatsApp/call: 0712878245
 

Attachments

  • IMG-20231215-WA0018.jpg
    IMG-20231215-WA0018.jpg
    97.9 KB · Views: 7
  • IMG-20231215-WA0018.jpg
    IMG-20231215-WA0018.jpg
    97.9 KB · Views: 8
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.

Leo nawaletea vazi la heshima, vazi la viongozi vazi la usalama zaidi liitwalo KAUNDA SUTI.

Kwa bei ya kItanzania ya Tsh. 150,000/= utapata Kaunda SUTI yenye ubora na viwango vya juu, made in Turkey 🇹🇷

WhatsApp/call/sms: 0712878245

Location: Kariakoo, manyema na mchikichi street - Dar es salaam. Tupo nyuma ya jengo la Simba sports clubs.

Karibuni wote

Screenshot_20240315-092728.png

Screenshot_20240315-092738.png
Screenshot_20240315-092913.png

Screenshot_20240315-092757.png
Screenshot_20240315-092815.png
 

Attachments

  • Screenshot_20240315-092938.png
    Screenshot_20240315-092938.png
    522.9 KB · Views: 6
Mambo vipi wakuu,

Kwa mara nyingine Tena nimewaletea suti za vijana suti za wanaopenda kuwa unique....six BUTTON suit✓ kama jina linavosomeka ni suit yenye vifungo sita (angalia picha chini👇)

Kwa bei ya Tsh. 170,000/= utapata suti yako. Sifa za suit👇

Made in Turkey 🇹🇷
100% cotton wool materials
Ready made slim suit

Nicheki whatsapp/call/sms: 0712878245

Location: Kariakoo,Manyema na mchikichi street- Dar es salaam.

WOTE MNAKARIBISHWA

Screenshot_20240315-222642.png
Screenshot_20240315-222619.png
Screenshot_20240315-222538.png
Screenshot_20240315-222557.png
Screenshot_20240315-222521.png
Screenshot_20240315-222500.png
Screenshot_20240315-222449.png
 
Hizi suti za turkey kabla hujanunua muombe anayekuuzia apige picha zikiwa dukani hapo hapo dar achana na haya mapicha ya kituruki, unaweza ishia kucheka

Mkuu kama hutojali naomba piga picha za hapo dukani utume


Speaking from experience
 
Mkuu kwenye suala la picha tunapenda kutumia picha za manufacturer aliyetengeneza suit au picha zetu za studio kwasababu Huwa zina uhalisia 100% tofauti na picha za simu kwasababu mara nyingi picha za simu kama sio simu nzuri rangi ya suit inabadilika. Mfano ukitumia simu e.g Tecno suti ya rangi nyeusi inaweza kuonekana gray au dark blue.

Lakini kwa upande wangu mimi Nina simu nzuri ya kutoa picha Kali bila KUBADILI rangi so, ukihitaji nakupigia picha suti ikiwa dukani au naweza kupiga video call ukaona suti.
Lakini keep in mind that, picha unazoziona za mturuki au picha zetu za studio hazina utofaut na suit
 
Habari wanaJF
Leo nimekuja na ofa ya MAKOTI ya SUTI ZA KIUME tu.
Sifa za blazers👇

Made in Turkey 🇹🇷
100%cotton wool materials ✓
Slim fit blazer✓

Bei - Tsh. 100,000/=

WhatsApp/call: 0712878245

Location: Kariakoo, Manyema na mchikichi street - Dar es salaam.

Delivery: Mikoani tunatuma Kwa haraka na uhakika zaidi. Wateja wetu wa Dar es salaam tunakuletea mpaka mlangoni kwako au unaweza kuja dukani.

NB: Full suti sio lazima unaweza kupendeza na koti tu
 

Attachments

  • IMG-20240318-WA0001.jpg
    IMG-20240318-WA0001.jpg
    136.9 KB · Views: 6
  • IMG-20231122-WA0022.jpg
    IMG-20231122-WA0022.jpg
    395.7 KB · Views: 7
  • IMG-20231209-WA0047.jpg
    IMG-20231209-WA0047.jpg
    153.7 KB · Views: 8
  • IMG-20231122-WA0023.jpg
    IMG-20231122-WA0023.jpg
    333.3 KB · Views: 6
  • IMG-20231209-WA0048.jpg
    IMG-20231209-WA0048.jpg
    109.2 KB · Views: 5
  • IMG-20231122-WA0021.jpg
    IMG-20231122-WA0021.jpg
    318 KB · Views: 6
  • IMG-20240318-WA0003.jpg
    IMG-20240318-WA0003.jpg
    159.7 KB · Views: 6
  • IMG-20240318-WA0002.jpg
    IMG-20240318-WA0002.jpg
    230.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240318-075722.png
    Screenshot_20240318-075722.png
    2.3 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240318-075703.png
    Screenshot_20240318-075703.png
    1.9 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240318-075631.png
    Screenshot_20240318-075631.png
    2.1 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240318-075651.png
    Screenshot_20240318-075651.png
    2 MB · Views: 6
Back
Top Bottom