Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia.
Tuendelee:-
Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu...
Nakodisha mashela MAPYA na yaliyovaliwa kidogo. Bei ya ofa ya kufungia mwaka. Shela lolote utakalochagua bei ni 150,000/ wahi sasa uchague kilichobora upendeze kwenye Harusi yako Kwa bei Chee kabisa.
Napatikana banana ukonga.Simu 0717441943
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.