Kumbe huyu kijana wa ChatGPT - Sam Altman ni shoga, naona jana ilikua harusi yake.

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,728
6,792
Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga.

Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI.

Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu wanaojielewa wanataka AI zisimamishwe au ziwe na kibali kama ilivyo nyuklia.

Soma zaidi hapa, jana ilikua harusi yake OpenAI CEO Sam Altman just got married
 
Kumbe !!

Ndiomana alirudishwa maana watu kama hawa ni wanatafutw sana ili kutekeleza ajenda ya ushoga dunian.

Watoto watakauw wakisoma drsn hap ndio mifano yao, na kwakuw ni watoto wao kuiga wataona ni sawa.
 
Mnatumia nguvu sana kuwatangaza hao Vima...
Jf ni sehemu ya kujadili sio matangazo

Huyu jamaa alifukuzwa kazini kwake bila kuweka wazi sababu za kumfukuza na vile vile akarudishwa kazini bila maelezo yyt.

Hili swala la yeye kuwa shoga inawezekana limechangia jambo zima la kufukuzwa na kurudishwa.

kinachouma zaidi hawa ndo watakua role models wa watoto
 
Kumbe !!

Ndiomana alirudishwa maana watu kama hawa ni wanatafutw sana ili kutekeleza ajenda ya ushoga dunian.

Watoto watakauw wakisoma drsn hap ndio mifano yao, na kwakuw ni watoto wao kuiga wataona ni sawa.
Ni shida sana, Mungu asaidie vizazi vyetu
 
Huyo kijana Yukwapi namie nimfahamu walau kwanza picha ???

cc Smart911
Screen Shot 2024-01-12 at 3.03.27 PM.png

Inasikitisha sana...
 
Kumbe !!

Ndiomana alirudishwa maana watu kama hawa ni wanatafutw sana ili kutekeleza ajenda ya ushoga dunian.

Watoto watakauw wakisoma drsn hap ndio mifano yao, na kwakuw ni watoto wao kuiga wataona ni sawa.
Ishindwe kabisa
 
Back
Top Bottom