Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,

"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party tu ilikuwa Royal!!!

Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.

Itaitwa LE GRAND ROYAL WEDDING PARTY na tunakusudia kuifanyia Benjamin Mkapa Memorial Stadium, tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!! tutaipamba ile stadium kisawa sawa na haitajulikana kabisa kama ni uwanja wa Mpira" Alimalizia Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Hahahahah huyu lengo lake ni kumuua kabisa Dulla Makabila hahaha😂😂😂😂
 
na wakati wa kuvujika pia ifanyike apo apo Mkapa Memorial Stadium na iitwe The End of Le Grand Rayol Wedding Party,

maana ni suala la muda tu mwanzo umeonekana vizuri sana in public ni vizuri pia mwisho ukawa in public pia..

Vinginevyo nawatakia maandalizi mema sana ya Royal wedding
 
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,

"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party tu ilikuwa Royal!!!

Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.

Itaitwa LE GRAND ROYAL WEDDING PARTY na tunakusudia kuifanyia Benjamin Mkapa Memorial Stadium, tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!! tutaipamba ile stadium kisawa sawa na haitajulikana kabisa kama ni uwanja wa Mpira" Alimalizia Manara

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Hivi Watanzania wana akili kweli jamani, nashikwa na wasiwasi jinsi wenzetu majirani wanavyojitahidi kupambana na maisha huku sisi tunashadadia maisha ya watu wasio na maana hapa nchini mpaka na wao wanajiona ni watu muhimu kwetu na ndiyo maana viongozi wa serikali wanatuchezea akili kila kukicha.
 
Back
Top Bottom