Hivi huwa mnaoana kweli humu mbona hatupeani mialiko ya harusi?

Wanachokutananacho ni tofauti na uhalisia.

Jamaa alichomeshwa mahindi kwa kusubiri matako ya babe yakauke na babe nae akagundua jamaa hana pesa kama alivyokuwa anajikosha.
 
Naamini kuna watu humu huwa wanaona kimya kimya alafu ni member wenzetu tu, hapa na tupo nao kwa miaka mingi lakini mbona hatupeani mialiko ya harusi? Au wana jamiiforums huwa amuowagi au kuolewa
Tunaoa kila siku.
HAtualikani kwa sababu kila mtu humu ana akili yake mkononi. 😂

One mistake, wanashusha bendera nusu mlingoti na maombolezo ya kitaifa:D
 
UKIHITAJIKA UTAITWA ACHA WENGE

jifunze kulike thread za watu, kuchangia mada kwa positive comments bila kusahau kuzama PM huko ndiko mtatengeneza urafiki na undugu.

Sasa wewe ID yako haipo active katika masuala ya kushare interest kwa members then ni nani atakayekualika ama kukushirikisha issue zake
 
Back
Top Bottom