harusi

  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  3. Half american

    JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunachangishana michango ya harusi?

    Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa sio bahati mbaya ni maandalizi ya muda mrefu, unakuta mtu huna mazoea naye ya karibu sana kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  6. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Ma boyfriends wa mke wako mtarajiwa wapo kwenye group lako la harusi na wanachanga

    Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
  7. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Harusi za kidijitali

    Hii ndio harusi iliyotrend sana hii wiki.Kimaadili hali ni tete.
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulemewa sana na madeni, sasa uwanja wa Real Madrid ni ukumbi wa harusi

    ⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo. •Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

    Salaam,Shalom!! Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau. Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
  13. mzansi01

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari za harusi

    Nahitaji kukodi gari za harusi v8 au range na alphad. Anayetoa huduma hiyo naomba gharama whatsapp kwa namba hi 0759666581 Nipo Dar es salaam
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya. Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
  15. Grahams

    JamiiForums Tanzania Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni. Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali. Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Moja ya harusi bora kabisa hii

    Moja ya harusi bora kabisa hii Watu wa hivi huwa hawataki mambo mengi kabisa, mara nyingi huwa sisi wanaume ndio tuna aamua iwe hivi. Nyingine ile mkimaliza kufunga ndoa shughuli zina endelea kama siku zingine tu za kawaida pale nyumbani.
  17. doctor_clothing_store

    JamiiForums Tanzania Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  18. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnaoana kweli humu mbona hatupeani mialiko ya harusi?

    Naamini kuna watu humu huwa wanaoana kimya kimya alafu ni member wenzetu tu, hapa na tupo nao kwa miaka mingi lakini mbona hatupeani mialiko ya harusi? Au wana jamiiforums huwa amuowagi au kuolewa
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Midada ya kuvaa nusu uchi kwenye harusi huwa wanatokea wapi?

    Jana nilibahatika kuhudhuria harusi ya kijana wa jirani yangu. Ile harusi ilihudhuriwa zaidi na watu wa mtaani maana ndio kampani. Kitu cha kushangaza ni kukutana na midada yenye maumbo mazuri yakiwa yamejiachia na vimini. Wale madada walikuwa na vibe hatari kila nyimbo wanacheza. Nikajaribu...
Back
Top Bottom