Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza.
Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine.
Taarifa ya Jeshi la Polisi...
‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa ana familia yenye watoto saba.
Sherehe hiyo iliyokuwa ikifanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Edo...
Jumla ya magroup sita yananitaka nitoe si chini ya laki laki.
Nimeleft. Sitaki ujinga.
Hizi ndoa za maghalama hizi ni upuuzi mtupu. Watu kuoana muoane wenyewe mizigo mtubeneshe sisii, shenzi.
Mimi natoaga tu mwanaharamu apite mara zote kulipishana mahela ni ujuha.
Kwani mnashindwa nini...
Mmoja kati ya watu watano waliofariki dunia kwa ugonjwa wa ajabu katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Bukoba vijijini, mkoani Kagera alikuwa bwana harusi mtarajiwa.
Watu hao waliofariki dunia ni kati ya saba walioripotiwa kuwa na ugonjwa huo huku wakiwa na dalili za homa, kutapika, kutokwa...
Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza.
Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi tu.
Hakikisha umetupia code classic koti na shati na ikiwezekana tupia miwani uwe na muonekano wa...
Habari ya Uzima wanajamvi. Natumai wengi wetu, Mungu wetu wa Rehema ametuvusha Salama kufika mwaka 2023. Jambo la Kumshukuru sana Mungu.
Nijikite sasa kwenye Mada yetu husika wanajamvi. Kama ilivyoada kila mwanadamu huwa ana malengo yake husika ndani ya Mwaka mzima ili kujiweka juu zaidi katika...
Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe?
Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
Joseph Patrick Ngonyani mkazi wa Kijiji cha Makuyni kilichopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga ikiwa zimebaki siku 29 afunge ndoa.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Godlisten Malisa ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu kifo cha...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa.
Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana.
TUPIGIE SASA 0657 33 2814
Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi.
Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi tamu, hasa ukute unayemuoa ama kuolewa naye ni mtu unayemhusudu.
Kwa upande wako ilikuwaje siku hii?
Wadau habarini,
Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe.
Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba Mahakama ya Wilaya hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila lake na familia yake kuchangisha michango hiyo.
Akiwasilisha maombi...
Kwakuwa shauri lipo mahakamani ni vizuri tusubiri maamuzi ya mahakama.
Lakini michango ya Harusi ni mingi kuliko hata Tozo tunazozipigia kelele kila uchao. Na hili nalo mkaliangalie.
Na kesi ya msingi wakati inasikilizwa ni vizuri kusitisha michango ya harusi kwanza tupate muongozo wa...
Nimeona ni kama utaratibu ambao hauja ainishwa rasmi ila ukienda katika harusi nyingi lazima utakuta kuna Lijishangazi, Lijidada, Lijimama mdogo moja Balaa sana. Lenye ku present utajiri wa mwanamke wa Kibantu.
Hili huwa linakuwa mbele ya msafara na nyuma pia wakati ndugu au maharusi wanaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.