Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Moja kwa moja kwenye mada.

Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.

Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.

Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.

Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.

Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?

Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.

Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.

Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.

Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
 
Ila kumbuka ukifiwa ,ukiumwa usitembeze bakuri au kusindikizwa kwenye mazishi.
Mtego unaanzia hapo sio Sheree tu
Michango muhimu natoa.

Mimi nikifa au kufiwa ofisi itawajibika kwa kila kitu mpaka geneza.
Acheni kuchangisha kwa vitu vya kijinga.

Mtu ni STD 7 anataka michango ya hharusi ni vyema tumchangie akalipie QT. Hata peke angu naweza kumsaidia kijana akija na wazo zuri
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa hharusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui.
Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina ?
Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupo?
Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi.
Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela?.
Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea?
Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu.
Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka.
Ukiwa na pesa utaweza kufanyia hharusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Changia watu wacha majungu
 
Aisee watu wengn bn! Jana kuna mwamba moja anatembeza picha ya jamaa kamwekea X anadai kafariki tushikane mikono wadau....tukamuuliza jamaa ni wapi akawa anatoa maelezo jamaa mwingine akatokea hapo akasema huyo mtu alishazikwa kitambo mchangishaji alitoka nduki
 
Mchango tu maneno kibao kwani ukitoa singo tu Kuna ubaya, kwani kuchangia harusi hajabu huko ndo kushirikiana na staff wenzio kwa shida na Raha.
 
Ugonjwa au matibabu kila Mtu anabidi achangie hapa Ila kuhusu msiba au kifo au harusi nikulazimisha vitu maana Mtu akifa lazima atazikwa haijalishi kafia wapi as the same Mtu akiamuoa kuoa ataoa tu hata bila michango ya wadau it all about fucking mind kulazimisha mambo na kusumbua watu.

Personally mgonjwa ndo anabidi kuchangiwa na kuhudumiwa 💯% ila Cha Ajabu watu wapenda sifa huwa wanachangia msiba tu ila Mtu akiumwa hawana habari naye .
 
Aisee inakera ,Kun mtu alinipa KADI .Sikuchangia ,na hakika wakati huo nilikuwa juu ya nawe! Akiwa honeymoon Dubai alinitumia ujumbe akiniuliza ..Vipi Mkuu mbona hukunichangia?!😠😠 Qu ...ma.....
Michango muhimu natoa.
Mimi nikifa au kufiwa ofisi itawajibika kwa kila kitu mpaka geneza.
Acheni kuchangisha kwa vitu vya kijinga.
Mtu ni STD 7 anataka michango ya hharusi ni vyema tumchangie akalipie QT. Hata peke angu naweza kumsaidia kijana akija na wazo zuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom