MC acheni kuposti video za harusi na sendoff bila idhini

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,482
2,152
Hii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao. Unakuta Kuna kipande fulani kinachukuliwa na mc katika video ya shughuli bwana Harusi na Bibi Harusi mnajikuta ghafla mnatrend mtandao iwe Ni kwa kituko au kwa uzuri.

Madhara yake kwa wahusika. Inaweza kusababisha msongo wa mawazo au kukuharibia heshima yako pahaka fulani.

MC kuweni makini na kazi zenu na usirushe maudhui katika kitandazi chako bila idhini ya wahusika.
 
Nyingine ni ushubwada 😂😂 kuna moja niliona, bwana harusi mtarajiwa anacheza, yan kwa kifupi sio furaha, ni aliranduka 🤣🤣
Nikasema ningekuwa mimi ndo bi. harusi, hakii namfinya kidogo ndo atulie
Kuna mwana wa Mungu kwenye Biblia alimchezea Mungu mpaka nguo zote zikatoka, ndo kilichotokea kwa bwana harusi mtarajiwa extreme furaha 😎
 
Harusi ni public event, kuwekwa kwenye status na clip mitandaoni siyo shida ili mradi si kwa nia ya kudhalilisha.
Mkuu ukiziona hizo clip tiktok/ insta.. jaribu kupitia comments, ni sifa+ minyambuo hatari.

Kuna nyingine niliona kwa GaraB, mkaka na mams wake ndio tonight project. Siwajui, ila kupitia comments unapata mkanda mzima, raia walijimaliza kwenye comments kwamba mwanaume ni mala.ya na huyo mams atakuwa ameroga ndo maana anaolewa yeye.

Huoni hiyo ni mbaya? 😂
 
Mbaya Sana😁
 
Mbona viongozi na wanasiasa wanapigwa spana mitandaoni hawajaachia ngazi kuogopa comment za wapiga spana? ukishaenda public tu lazima ukutane na comments....
 
kuna ile video maarufu dada anajiandaa kumtambulisha mtarajiwa wake siku ya send off,jamaa anaonekana akimkoromea bidada kwa ukali"sitaki show off"japo sauti haisikiki.
video ilizurula kwa miezi kadhaa,watu wakacheka mnoo,ila mtazamo wangu ulikuwa tofauti sana kuhusu hatma ya ndoa ile.

linaweza lisiwe tatizo kubwa sana,lakini likanawiri sababu linafikia watu wengi na kusababisha mambo mengine kwa wahusika.

MCs na watu wa kurekodi kumbukumbu wacheni hii tabia mtakuja kulipa watu au mkafungwa.
 
Back
Top Bottom