harusi

  1. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi

    Uko tayari kuanza safari? Kodi gari kwetu kwa safari isiyo na usumbufu, iwe ni safari fupi au ya mbali! Weka nafasi sasa na uendeshe kuelekea uhuru wako +255 655 633 302
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Harusi bora ya mwaka 2024

    Tunawapongeza kwa hatua hii njema. Hakika ninyi ni mfano mzuri kwa wengine.
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  5. Crucifix

    JamiiForums Tanzania Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
  6. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Nikikuchangia Laki Bwana Harusi Ukumbini nitegemee kupata nini?

    Habari wadau? Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki. Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  8. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania wanaosema siku yao ya harusi ni siku ya pekee siwaelewi

    kipi cha kufurahia hasa, mimi sioni maajabu ya hiyo siku
  9. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushuhudia Harusi ikikosa Wageni kutokana na Michango iliyowekwa?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa. Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
  10. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka niende kwenye harusi yake

    Hii wiki mbaya kwangu Naandika hapa x wa mama mkwe wangu kaninyima chakula🥺 Tuachane na hayo Huyu X wangu Eliza mchaga wa rombo macho kama anakula kungu shingo mithili ya twiga wa nyalandu shape kama bajaji mapenzi hajui ila anajua kupenda na kutoa hela tatizo la kuachana naye baba yake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimewagomea Wanafamilia tusichangie Harusi ya Kaka bali tuchangie mdogo wetu masomo na Nyumba tumalizie. Wamefura nimelikoroga

    Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

    Wakuu, Rais Mwinyi amjibu aliyehoji kapata wapi hela za kufanya harusi ya kifahali hivyo. Ila hili nalo lilikuwa jambo la kuaddress kwenye Mkutano wa CCM, au ndio kiki apate kuongelewa kipindi hiki tunapoeleka kwenye uchaguzi mkuu 2025...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje kwenye sherehe za harusi Kwa wazazi waliotengana?

    Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  16. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Harusi yageuka msiba baada ya fumanizi

    Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama yake mzazi abdoulatif. Aidha mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya hayo ikiwa ni siku yake ya harusi...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  18. chinatown

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhalali na ulazima wa michango ya harusi?

    Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi. Wafanyakazi wanakipato kidogo mno hakiendani na uhalisia wa maisha,na pale anapoishi kijamaa kwa kushiriki hizi...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
Back
Top Bottom