hali ya hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

    Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia. Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbwatukaji Mkurupukaji Wao leo Saa 4 Kamili Asubuhi anaenda Kuchafua Hali ya Hewa Lumumba

    Tujiandaeni kwa Maboko yake ya kama Kawaida kutokana na Kukurupuka Kwake Kiasili japo GENTAMYCINE natamani mno azungumzie pia kuhusu Kero ya Kukatikakatika kwa Umeme nchini kwa muda wa Wiki Tatu kama siyo Mwezi sasa.
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

    Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia. Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua. All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zaafikiana kuhusu suala ya hali ya hewa

    China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo. Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Yatahadharisha Uwepo wa Mvua Kubwa Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Mafia Jumapili, 12 Novemba 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023. Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

    Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango. Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha. Waliochukua tahadhari...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa yasema kipindi cha Novemba 2023 hadi Januari, 2024 kinatarajiwa kuwa na mvua nyingi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka ambayo ni mikoa ya Tabora, Katavi, Kigoma, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Kusini mwa Morogoro. Taarifa hiyo imesema...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha uwepo wa El Nino kwa Asilimia 90, Oktoba 2023

    TMA imesema hadi sasa imefikia asilimia 90 ya kuwepo kwa El Nino hasa kipindi cha mvua za msimu wa vuli zinazotarajiwa kunyesha Oktoba hadi Desemba mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini. Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya HewaTanzania (TMA) imesema El Nino inatarajiwa kuwepo katika kipindi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa leo Dar

    Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa. Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid. Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu...
  13. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar mpo vizuri katika updates za hali ya hewa

    Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 , Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini...
  14. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Wakuu salaam, Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha. Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  16. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

    Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Onyango mbuzi wa kafara, Bacca anachafua hali ya hewa

    NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca. Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ile vuta n'kuvute pale kimboka, nimeangusha simu. Aliyeiokota kachafua hali ya hewa

    Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa toeni taarifa iliyo sahihi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara. Matokeo ya taarifa hii ikawa ni tofauti kabisa. Kulikuwa na jua kali licha ya taarifa yao. Nawashauri kuwa toeni taarifa iliyo sahihi ili wananchi...
Back
Top Bottom