hali ya hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania TMA yasititiza umuhimu wa kufikisha taarifa za Utabiri wa Hali ya Hewa kwa uhakika, usahihi na kwa wakati

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesisitiza umuhimu wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa kutolewa kwa uhakika, usahihi na kwa wakati kwa ajili ya maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi. Haya yalizingumzwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang’a wakati akifungua Warsha ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TMA: Tunafuatilia kuhusu Kimbunga Freddy, hakuna madhara kwa sasa

    Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania. TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo...
  3. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Leo Dodoma hali ya hewa ni upepo mkali na vumbi

    Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi. Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo...
  4. complex31

    JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Bukoba: Nashangaa mpaka sasa si waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa kupata maoni ya wataalamu wa hali ya hewa

    Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa. Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wajitafakari

    Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa. Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze...
  10. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Leo(just..joto) si njema. Mamlaka zitie tahadhari

    Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania "Job Ndugai achafua hali ya hewa" Ukurasa wa mbele wa Tanzania Daima Oktoba 14, 2022

  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hali ya Hewa: TMA yatoa angalizo la upungufu wa mvua za vuli nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Desemba 2022, zitakazosababisha kupungua kwa unyevunyevu katika udongo hivyo kuleta athari mbalimbali. Imeelezwa kutakuwa na vipindi virefu vya ukame na...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania China achafua hali ya hewa

    Hicho ndicho anachosema sema NASA. Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa. Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au kuhatarisha maisha ya wanadamu. Kwa kawaida, kwa wabobezi wa anga za juu hicho kiuno, ama tumbo, ambalo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Hali ya hewa hupelekea watu kuugua

    Habari zenu wakuu Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini?? Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii yakukohoa wengi wamekua wakieleza kua huwakuta sana ifikapo mida ya saa 12 jioni ambayo huwafanya hata...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa yafafanua baridi la Njombe: Kinachotokea ni Sakitu siyo theluji

    Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa. Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya Baridi kuendelea kwa baadhi ya mikoa

    Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022. Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

    Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia. Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
  18. beth

    JamiiForums Tanzania TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

    Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Penzi kigugumizi lachafua hali ya hewa! Anusurika kifo

    Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake. Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye ndiye alikuwa mwanaume pekee, watatu hao walimlazimisha kuanza kula vyakula ambavyo vimepambwa katika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa yana kasi zaidi kuliko ilivyotabiriwa

    Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu. Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
Back
Top Bottom