hali ya hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa yana kasi zaidi kuliko ilivyotabiriwa

    Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu. Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  5. Slim5

    JamiiForums Tanzania Wasomaji wa utabiri wa hali ya hewa wabadilike!

    Moja kwa Moja kwenye mada! Ukiskiliza Tabiri za Hali ya Hewa kwenye Vyombo vingi vya Habari ni kawaida kuskia sentensi kama hizi "......Maeneo ya Pwani..... Maeneo ya kati ya Nchi pamoja na Kusini kwa Mkoa wa Morogoro.... kutakuwa na Mvua za Hapa na Pale..... kutakuwa na Mvua Kiasi.... na...
  6. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania imetoa angalizo la mvua kubwa kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa, Dar es Salaam, Pwani, visiwa vya Mafia, Ruvuma, Morogoro, Njombe, Lindi na Mtwara itakayonyesha Februari 23, 2022. Aidha mamlaka hiyo imesema kutakuwa na upepo mkali kwa baadhi ya mikoa.
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Upepo, mvua zaathiri miundombinu ya umeme

    Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua...
  9. mrangi

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa inaruhusu

    Mzee nmepita pande zako za msata 1 haikai 2 haikai Nmepata docho najilipua Mshana Jr Ova
  10. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  11. Memento

    JamiiForums Tanzania Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

    UTANGULIZI. Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata misitu nk.Wamefika mbali zaidi,na kudai kwamba mifugo kama Ng'ombe na hata Kilimo cha zao la Mpunga...
  13. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Siasa za STORY: Story za Hali ya Hewa?

    Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani.. 1. MAANA...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  15. Nigga What

    JamiiForums Tanzania Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

    Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
  16. Gamba la Mbu

    JamiiForums Tanzania Usanifu wa Majengo: Kwanini ni muhimu nyumba/ Ramani kuakisi hali ya hewa ya mahali husika?

    Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni. Twende kwenye mada! Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
  17. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Baridi kali, hewa kavuu Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi. Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria: Wanajeshi 25 wauawa na moto wa msituni

    Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo Katika siku za hivi karibuni Nchi kadhaa zikiwemo Uturuki, Ugiriki, Lebanon na Cyprus zimekumbwa...
  19. Semahengere

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange Baridi ni kali mno
  20. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya Kijiografia, Tabia Nchi na Hali ya Hewa inaifanya Tanzania kutaka kila kitu kwenye Kilimo

    Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali na Bahari, maziwa, mabwawa, mito na vijito. Hali hii ikijumuisha na sifa mbalimbali za udongo...
Back
Top Bottom