Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,675
22,264
Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi.

IMG_20240101_135946.jpg

Hii ni tarehe 1 January 2024.
 
TMA imejikita katika kutabiri kuhusu vipindi vya mvua na jua, hali ya mawingu, na kasi ya upepo tu. Siku hizi hata suala la mawio na machweo ya jua katika mikoa tofauti wameamua kulipotezea. Mambo mengine wameachia wanachi wajiongeze wao wenyewe.
 
Huo utabiri wa mvua nao huwa wa kijumlajumla kama vile Mungu atatia maji ndani ya mtungi.
 
Pandeni miti

Tunzeni mazingira

Acheni kulialia na kulalamika

Ova
 
Tupande miti equivalent na ile iliyokatwa rufiji, ipandwe rufiji zone kama kampeni maalumu.
Msitu waki strategy kazimzumbwi uongezwe miti, ingawa ulipandwa strategical kuabsorb carbon ya viwanda pugu road, tuongeze mikoko mingi hapo salenda, mtoni kijichi papandwe miti mingi kwenye ukanda huo,
Sitoi tena siri nyeti zingine za jiji hili la Dar (air flow and control) zote zimejengwa zimejengwa.
Jinusuruni kwa hayo machache!
 
Pandeni miti

Tunzeni mazingira

Acheni kulialia na kulalamika

Ova
Kasi ya upandaji miti hailingani na ya ukataji miti ambayo ni kubwa, pia hatuna mpangilio mzuri kama uliokuwepo enzi za ukoloni maarufu Shamba la Bibi.
 
Back
Top Bottom