haki

  1. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuwahakikishia watanzania usalama si kuwapiga risasi au kuwatisha, ni kuwahakikishia HAKI

    Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama. Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote. Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu. Hakikisho la kweli ni KUTENDA HAKI. Wahimize hao wanaowatuma watenda HAKI na amani itatamalaki...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hata muweke nini ila kama hakuna haki leo mkifa mtabaki makaburini bila kumbukumbu

    Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake. Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha. Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho , hata mbwa ukimuuliza...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Tukitendewa kwa usawa bingwa atapatikana kwa haki

    Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa usawa, na kukiwa na mashindano ya haki, naamini bingwa anaweza akapatikana vizuri."
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

    Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line. Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe. Hivyo msiwasikilize hawa wauaji. Madilu anamuandaa mwanawe kuwa Rais, nyinyi wa kwenu kuwa boda boda, msikubali ujinga huu. Tutende haki na kila kitu...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mkishakuwa wahalifu muwezi kupelekana kwenye haki wala kunyoosheana vidole sehemu za wazi.

    Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025. Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake. Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya. Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo aibukia suala la Maridhiano na Amani, adai Haki ndio Msingi wa yote

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili hayo yote yafikiwe amesema inahitajika kuwa na msingi wa haki. "Mtu yeyote anayehubiri amani...
  12. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  13. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Hii ni haki kweli? Nimekuta gari yangu inadaiwa wala sijui kosa, sina taarifa yeyote

    Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mufti aomba mapumziko mwaka mpya wa kiislamu,naam uislamu ni dini ya haki

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima. Mufti Zubeir...
  15. CONCHEY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na haki za ndoa

    TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke aliyesoma na mwenye sifa za kitaaluma hawezi kutarajiwa kufungiwa ndani ya mipaka migumu ya majukumu ya ndoa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngara, Kagera: Wafanyakazi wa shule ya Mchungaji Mwema tunaomba kusaidiwa ili shule itupe haki zetu

    Tunaomba Serikali iingilie kati kuhusu maslahi ya Wafanyakazi wa Shule ya sekondari Mchungaji Mwema iliyopo Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera Wafanyakazi wa shule hiyo tunakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohitaji uangalizi na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika, zikiwemo: Kunyimwa...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Haitavumilia Kupuuzwa Haki za Wananchi

    Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbagala Rangi Tatu tulivunjiwa nyumba zetu kimakosa, amri ilikuwa ya Kitalu kingine, tunapambania haki yetu

    Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashari ya Wilaya Kishapu haiwatendei haki watumishi wake katika malipo

    Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo: 1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Walioonesha ujasiri wa kuhoji Wameahidiwa kupandishwa Daraja, Walionyamaza Wakaachwa, Hii Ndiyo Haki?

    Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa. Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
Back
Top Bottom