Nguchiro na haki hawapatani

Nguchiro na haki hawapatani

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
798
Reaction score
865
"Africa inasalia kuwa bara pekee duniani ambapo kiwango kikubwa cha wanaharakati na wanasiasa wenye 'unguchiro' wanadai haki, ilihali wao wenyewe wanashindwa kuitekeleza misingi hiyo.

Ni taswira ya bara ambalo tabaka hilo linapenda kukosoa kila jambo (kwa matusi na dhihaka), likitumia uhuru wa kujieleza kama silaha dhidi ya wengine; kundi ambalo hupigania umuhimu wa hoja zenye mashiko majukwaani, lakini linapokabiliwa na hitaji la ushahidi wa kimantiki na takwimu, hukosa uwezo wa kuzithibitisha hoja zao."— Alloyce, P.R.
 
Back
Top Bottom