haki

  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa kuwa Rais anakerwa na kukosekana kwa haki, hata kama hajui kuwa kuna watu wanashikiliwa, ajifanye amejua ili waachiwe

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema: RAIS APOKEE NYONGEZA YA KERO Mh. Rais Samia amewatubia Majaji na Mahakimu. Ametumia fursa hiyo kueleza kero zake juu ya mwenendo wa mahakama na utendaji wa Majaji na Mahakimu. Ametaja: Ubambikiaji wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) halijanitendea haki, nimeachishwa kazi, familia yangu inateseka

    Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa mpango wa kuazimwa Mwaka 2021. Nilipohamia Dodoma katika Ofisi ya TNMC...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAKI INGETENDEKA IMAGIME.LEO INGEKUWA (TANZANIA VS CAMEROON)

    DAH POLEN SANA CAMEROON POLEN TEAM CAMEROON MBAYA ZAIDI MECHI KAMA YA LEO SIKUWA NA HAMU KUANGALIA BAADA YA UHUNI ULIOTOKEA MECHI VS MOROCO LEO TUNGEKUWQ TUNAANGALIA CAMEROON VS TANZANIA KAMA SIO UHUNI WA AFCON REFARII POLEN ZANA WATZ NXZTTM MJIFUNZE AFCON KWENU MJIPANGE MAREFA WAWATETEEE
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mamlaka inayotoka kwa Mungu ni Ile inayotenda Haki na kulinda utu wa watu wake

    Ijumaa Kareem! 1. Mara nyingi watu waovu hutumia maandiko kupotosha Jambo Fulani au kuhalalisha uovu Fulani. 2. Sio Kila mamlaka inatoka kwa Mungu. 3. Zipo Mamlaka za kihalifu ambazo chimbuko lake ni Shetani(roho chafu).. 4. Mtu yeyote anayekuambia Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu kaa ukijua...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
  10. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maoni ya Abdallah Makame kuhusu HAKI na AMANI; ajing'ata kuhusu kipi kianze

    Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

    NCHI INAPOCHAFUKA AMANI INATAKIWA KUTANGULIA NDIPO IFUATE HAKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Nimeulizwa swali; Mtibeli sijasikia ukitoa maoni yako kuhusu kati ya Haki na Amani kipi kinatangulia. 2. Mtibeli najibu; Kati ya Haki na Amani kuhusu kipi cha Kwanza au kinachotangulia...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Amani imeshinda haki Stars na Moroko

    Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani kinachoongozwa na mpenda amani, waliamua kuachia haki yao iende ilimradi kuwepo amani. Hakika, Tanzania si...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!

    Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  18. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Haki Huinua Taifa...na Utawala wa Samia...

    Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

    Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
Back
Top Bottom