Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
37,457
Reaction score
87,021
Hamjambo!

1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.

2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.

3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
 
Una mawazo duni sana
 
Sasa mbona ujaweka picha ya hizo kofia? Au Unadhani wote humu ni vijana wanazijua?
 
Hamjambo!

1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.

2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.

3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
CCM mmechokonoa mlichokatazwa na wenye hekima kama Warioba.

Tanzania kati ya mwaka 2013 hadi leo vijana laki 400, 000 walienda JKT hawa vijana walifundiswa basic infantry, kila mwaka zaidi ya watu laki 8 wanakuwa Jobless kundi kubwa hapa linakuwa bodaboda.

Bodaboda is the very tactical group and very easy kuwa militrilized.

Jeshi la Tanzania kiuwezo(vifaa na fedha) kwa size yake is very easy kuangushwa endapo kutakuwa na mgogoro wa kijeshi wa ndani.

CCM pona yao miaka yote imekuwa ujinga wa Watanzania kutojuhusisha na Siasa
 
Hamjambo!

1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.

2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.

3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.

Ni hayo tuu.

TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Nimeziona nyingi sana bodaboda huku mtaani wanazivaa
 
Back
Top Bottom