Askofu Kisare: Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki, haiwezekani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,946
Reaction score
2,985
Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja.

"Haki na amani zote zimezaliwa siku moja. Hakuna kinachotangulia, yaani zote zinatembea pamoja. Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki—haiwezekani." -Amesema Askofu Nelson Kisare

Uchawa tu, Haki ndo inaanza ndo amani inafata. Tofauti na hapo ni uongo na unafiki uliopitiliza.
 
Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja.

"Haki na amani zote zimezaliwa siku moja. Hakuna kinachotangulia, yaani zote zinatembea pamoja. Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki—haiwezekani." -Amesema Askofu Nelson Kisare
njaa
 
"Haki na amani zote zimezaliwa siku moja. Hakuna kinachotangulia, yaani zote zinatembea pamoja. Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki—haiwezekani." -Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania Nelson Kisare
Achana na hawa self proclaimed Bishops
 
Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja.

"Haki na amani zote zimezaliwa siku moja. Hakuna kinachotangulia, yaani zote zinatembea pamoja. Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki—haiwezekani." -Amesema Askofu Nelson Kisare
haki ya ndoa au haki ya kupata elimu, mavazi, chakula au malazi bora?🐒
 
kama vurgu fanyeni tu , nafikiria mmeona .Fanyeni ila msilete huruma , mnataka miili ya ndugu zenub .
 
Back
Top Bottom