haki

  1. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Kabla sijapona vizuri, hapa hospitali wananiambia nirudi nyumbani. Hii kweli haki wajameni?

  2. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi ungekuwa wa Haki tusingekuwa na tume za michongo hivi

    Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo imeundwa kitaalamu na kuzungatia jamii zetu zote na uchumi. Uchumi inahitaji uwekezaji na uwekezaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu ili kutolewa haki zilizonyimwa duniani

    Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha Al-‘Adl, yaani haki ya Allah iliyo kamili, isiyo na upendeleo wala kosa. Allah anasema: “Na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  6. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini ndiye msemaji wa masuala ya haki za binadamu bila woga kimataifa, kama Mwalimu Nyerere

    Tumepata Rais toka Afrika, Rais Cyril Ramaphosa ambaye kama Mwalimu Kambarage Nyerere, anayeweza kuongea kimataifa juu ya haki, na watu wakamwelewa.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

    Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo "Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao, wapo katika nchi huru na ni haki yao kutoa maoni. Lakini duniani kote, haki huwa inapiganiwa. Kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema haki kwanza wapo wapi?

    Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya Iran ?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport

    Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju usikubali ushetani, maliza kesi ya Lisu kwa haki. Heshima yako itasimama milele kwa jinsi ulivyo handle kesi ya Lisu

    Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele. Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive. Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali? Muhukumuni kwa haki hata kama...
  18. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Bwege alikuwa mpigania haki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara maarufu Bwege, alikuwa mwanasiasa anayepigania haki za watu wake na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Machi 31 katika mazishi ya Bwege wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Bwege alifariki Machi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Sixtus Mapunda: Wananchi wananiambia hawataki kwenda Polisi, bora niwapeleke TAKUKURU kwa kuwa kuna haki

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
Back
Top Bottom