Kipi muhimu Haki au Amani?

Kipi muhimu Haki au Amani?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,415
Reaction score
5,016

Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu

Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani mitaani kwa matukio yaliyotokea 29 Oktoba, tulikaa na wale walioathirika na tukawapa faraja na wengi kwa sasa wanakua na amani.

Pia soma: PostGE2025 - Amani ndio haki mama ya kila raia
 
Haki
 
Back
Top Bottom