Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Professa Anna Tibaijuka ameandika:
"Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA.
Badala ya kujibu hoja...
Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana!
Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...
The special thing was these feathery friends.
Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
Odemba: Kuna wimbo ambao Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikiimba kwa muda mrefu sana yapata miongo sita sasa. Na wimbo huu ni wimbo wa amani. Kwa nini Chama Cha Mapinduzi kinahimba wimbo wa amani kuliko wimbo wa haki, Kihongosi?"
Kihongosi: Ndugu Odemba, huwezi kutenganisha haki na amani. Hivi vitu...
Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
Anonymous
Thread
haki
kuharibu
kutoa
maisha
ngono
rushwa
rushwa ya ngono
wanafunzi
zao
Shetani alimtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume. Hata mzungu anamtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume wameleta Kitu kiitwacho haki sawa, mipango ni kuwapa Wanawake kiburi, kutokuolewa na walioolewa washindwe kaendelea na ndoa zao.
Ila kubwa zaidi kupingana na neno la Mungu. Watu wanasema hii...
Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote.
NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
Habari za Sabato!
Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri.
Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu.
Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
Hii kesi ilipofikia hata kijana anayesoma Diploma ya sheria IJA (Institute of Judicial Administration, Lushoto anaweza kuandika hukumu ya KWELI. Reasoned judgement!
Naishia hapa
Wadau nawaomba tuendelee kufatilia defence evidence wa mh. Lissu hizi kiki za akina nchimbi na genge lake la wafiraji na watekaji huko ccm tuachane nao maana wote ni birds of the same feathers who flock together.
Tambua kwamba kazi nyingi za kuwatetea waathirika mbalimbali, Lissu amezifanya bure bila kilipwa na hao watu.
Lissu anasema;
Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania.
Ushahidi wa leo utasema ni kwanini nashitakiwa. Leo nashitakiwa kwa...
NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
Leo nimefuatilia kesi ya Lissu kuanzia Alfajiri mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye...
Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje?
Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika.
WaTanzania wote tuna imani...
Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana.
Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha?
Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.