habari

  1. R

    JamiiForums Tanzania Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

    Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC. Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika. Suluhisho amelindika Askofu mwamakula
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  4. Engager

    JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wadeni Sugu wa NHC kutangazwa katika Vyombo vya Habari

    Kutokana na kusuasua kulipwa kwa madeni linalowadai wateja wake, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekuja na kampeni iliyobeba mambo nane katika kuhakikisha inakusanya madeni hayo ikiwemo kuwatangaza katika vyombo vya habari. Mpaka sasa shirika hilo linawadai wapangaji wake Sh23 bilioni fedha...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

    Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu. Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  8. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  11. Equipment

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mawasiliano upande wa udereva NIT

    Naomba kama kuna mtu ana mawasiliano na mwalimu yoyote wa upande wa udereva pale NIT anisaidie.
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  13. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wakatazwe kuongelea habari za DP World na Bandari

    Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea vipengele vya kisheria kuhusu mkataba huu ila hamna wanachojua aibuu tupu.
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kituo cha ITV wamekuwa waoga sana kuripoti habari za kisiasa

    Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando Chombo hichi cha habari naona...
  15. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa mjamzito kunyimwa huduma za kuanza kliniki kisa hajaambata na mumewe?

    Habari wanajukwaa, Ni halali mjamzito kukosa huduma kisa hajaenda na mume wake? Nilitaka kuweka clip nimeshindwa. Mawazo yenu muhimu.
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  17. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Python developers, sasa rasmi python kuachana na GIL

    GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library. Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa option kutumia GIL tutegemee kwenye matoleo mapya python GIL itakua option kwa developers kutumia ldb...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni habari nyingine

  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia na utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUIMARISHA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA Utangulizi Vyombo vya habari vina jukumu muhimu katika kukuza demokrasia na utawala bora katika jamii. Uwajibikaji wa vyombo vya habari unahusisha jukumu la kutoa taarifa sahihi, kuelimisha umma, na kushughulikia...
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

    Msaada tafadhali hii ni homa gani na dawa yake nini?
Back
Top Bottom