Status
Not open for further replies.
Kashapata huyo😀👍🏾

Wanawake wa mjini akiangalia tu picha kashapiga counter-attack kifikra, anaona wazi huyu daktari ajaye baada ya miaka kadhaa. Si haba mambo yatakuwa muswano.

Usijali dogo janja... wanakuja
 
😂😂😂 hao wanawake si nasikia wanapendaga ready made
 
Huyo yupo insecured ndio maana katanguliza neno mwanafunzi wa degree ..hajiamin
Na hapo atapata mpenzi anaeipenda degree yake na sio yeye

Sasa degree na mke inahusikaje
Kaweka wazi kwamba kazi hana ila kamwangaza anako... atakayeishobokea nafasi akawe mvumilivu. Mambo mazuri yanakuja, atakuja kuwa mtamu kama kisheti mbeleni.

Hivi ndo nilivoelewa. Niko tayari kukosolewa
 
Sifa ya kwanza ya mchumba inatakiwa akupende ww km ww ndio vitu km material possession, status n.k view extra added

Ukiweka wazi vitu km mali,kazi na elimu ni ngumu kujua lengo la muhusika anaekuja ni nn?

Na hii yote husababishwa vijana kutokujiamin,anaamua kutumia vitu km kazi,elimu n.k mwisho vitu hivi ikitokea muhusika kayumba ndio true colour huonekana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom