Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
Halo wadau wa JF nimekuwa katika mazingira magumu sana kupata habari kuanzia tarehe 21/5 hadi Leo 05/06/2020.
Maisha haya ni mahangaiko na sikuwa na simu wala redio mahali nilikokuwepo. Wadau na familia yangu naombeni msaada wenu nini kilijiri humu nchini na duniani kisiasa, kiuchumi, michezo...
Tofauti ya msingi kati ya wanahabari na mashushushu ni katika baadhi ya mbinu za msingi za ukusanyaji habari, ambapo kwa asilimia kubwa mashushushu hukusanya habari kwa njia za siri ambapo mara nyingi wanahabari hukusanya habari kwa uwazi. Kingine kinachotofautisha fani hizo mbili ni matumizi...
Amani kwako.
Kuna ajali imetokea Dar Es Salaam pale mbezi mwisho iliyohusisha basi kubwa la kuelekea mikoani.
Kinachofuatia.
Basi linalojulikana kwa jina la Novo coach linalofanya safari zake za kila siku kutoka Dar kuelekea Kigoma ndilo lililopinduka na katika maeneo hayo ya mbezi mwisho...
Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile.
Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi.
Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
Wanabodi
Tuko Live on Star TV, Mkuu Maxcence Mello wa JF, Yuko Live Ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF Ikiwa Ndie Mtoaji Mkuu wa Habari Tanzania, Msikilize Max
Paskali
Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani.
Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini?
Je...
Habari member wenzangu wa JF,
Mimi ninamtafuta baba yangu ambaye hata kwa sura simfahamu ila kwa maelezo ya mama jina la baba ni STANLEY JACOB FIFI na ni mwenyeji wa IRINGA lakini alikuwa anafanya kazi Dar na huko ndiko walikokutana na mama.
Mama hajawa muwazi kwangu nahisi pengine...
Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu
Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
Habari zenu jamani,
Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za...
Ndugu Mbwana Mshindo salamu zipate, popote pale ulipo najua pengine upo humu unasoma hii ujumbe.
Wewe ni mtangazaji mzuri mno, hukosei kosei, maneno yanatoka safi kabisa na una flow vizuri hongera sana.
Ila unapokosea katika kutangaza pale jambo likaenda mrama usipanick na kuloose confidence...
Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini.
Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Barua inayotoka ZARA yaani mamlaka ya kodi ya mapato Zambia ambayo nami naiambatanisha haijakusudia kufunga mpaka wala haina mamlaka ya kusimamia ulinzi mipakani, one border post maana yake ni kituo Kimoja cha forodha, na Ndicho kilichofungwa, wakati uhamiaji wakiendelea na shughuli zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.