habari

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa Tuzo za Waandishi wa Habari za EJAT, Ukumbi wa Mlimani City, Julai 22, 2023

    Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue. 1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award) Tido Mhando Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023) 2...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao. Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

    MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari acheni kulalamika. Tamaa zenu na kukosa maadili ndio anguko lenu

    Waandishi wa habari acheni kulalamika; mnavuna mlichopanda. Thamani yenu imeshuka sana kwenye jamii na miongoni mwa watawala. Hakuna kazi mnayofanywa inayopendwa kwenye jamii. Tumeruhusu nchi imebaki na vyombo vya habari vya michezo, vipindi vya michezo vimekuwa kipaombele vya Taifa. Mambo ya...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Vyombo Vya Habari: Sauti ya Haki za Binadamu

    VYOMBO VYA HABARI: SAUTI YA HAKI ZA BINADAMU Imeandikwana: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu ni matatizo makubwa yanayoikabili dunia leo? Haki za binadamu ni haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali jinsia, rangi, dini, au hali yoyote...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

    Wakuu, Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa. Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa awakosoa waandishi kwa kuandika habari tofauti na alichokisema

    Akiwa katika Mkutano na waandishi wa habari, Dr Wilbroad Slaa amewalaumu waandishi wa habari kuwa walipewa fedha ili kuandika habari kuwa Dr. Slaa akubali mkataba wa bandari. Ambapo amesema kuonesha kuwa wamepokea fedha hata vichwa ya habari vilifanana kwa magazeti saba. Slaa ameongeza kuwa...
  11. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Hodi! Naombeni mnipokee

    Nimekuwa msomaji wa Jamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania. Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

    Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.
  13. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano Kuhusiana na Mashirikiano kwenye (TEHAMA) Kati ya Tanzania na Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Kenya wataka serikali ipunguze Matumizi ya Matangazo kwenye Vyombo vya Habari

    Waziri wa Baraza la Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CS) Eliud Owalo ameashiria mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kupunguza matumizi ya matangazo ya vyombo vya habari. Akibainisha kuwa kusambaza matangazo ya Serikali ni jukumu lake, CS Owalo alihoji ni kwa nini serikali...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari na wananchi wapuuza bajeti ya 2023/2024 iliyopitishwa leo 26/06/2023; kwanini haijadiliki?

    Hii bajeti ya kwanza kupitishwa bungeni na jamii nzima kukaa kimya bila kuiweka kwenye agenda ya siku Miaka yote tumezoea siku kama ya leo kunakua na mijadala mizito ya kada mbalimbali lakini mwaka huu hali imekuwa tofauti. Hali hii siyo nzuri kwa mustakabali wa kesho wa nchi yetu. Yawezekana...
  18. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Uhuru wa vyombo vya habari ni haki ya uhuru wa kujieleza, kutafuta, kupokea, na kutoa habari bila kuingiliwa au kubughudhiwa na serikali au vyombo vingine vya mamlaka. Maana yake ni kwamba vyombo vya habari, kama vile magazeti, redio, televisheni, na mitandao ya kijamii, vinapaswa kuwa huru...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni! Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar! Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna habari za Afrika super league kwenye vyanzo rasmi vyote

    Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba. Official page ya CAF (cafonline.com) na social media zake zoote ukikuta habari ya Africa Super league bas ni ile ile...
Back
Top Bottom