Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza
nada.
Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09).
Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
Inasema.....
Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani.
Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 )
Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma
Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii.
Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani.
Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
Habari za wakati huu wakuu..?
Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...
kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
Na Kevin Lameck
Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa.
Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15.
Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Heloo hii habari za asubuhi vp umeamkaje kama uko fresh mshukuru Mungu ni mwema katufanya tumeona jumamosi ya leo wale wanaoenda kufanya kazi Mungu awape mahitaji ya moyo wenu Amina
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.
Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio.
Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990.
Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na hasara(changamoto)
3. Ushauri na maoni yanapokelewa
Naomba msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.