habari

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waitahadharisha Tunisia kuhusu Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied. Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Miradi na mipango mikubwa ya kimkakati ni kaburi la siasa za upizani, hili la bandari ni mojawapo. Rais songa mbele matokeo ni mazuri

    Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo: Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora. Pili...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana?

    Habari jamani Naomba ushauri je kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Habari Picha: Dkt. Bashiru akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa wakiwa na bashasha laini Bungeni, Dodoma

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Jamvi la Habari lawakalia kooni viongozi CWT

    Inawezekana ikawa ni mbinu ya kugawanya na kutawala (divide and rule)? Ni nani wako nyuma ya hii vita?
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa habari na wanahabari wanaokwenda Dubai wanafadhiliwa na nani?

    Ilianza muda mwaka Jana wanahabari kadhaa walienda Dubai kuchunguza ufanisi wa bandari,tukawaona wabunge nao wakienda Dubai,na Leo wanahabari kadhaa wa vipindi vya asubuhi wataanza kutangaza matangazo ya asubuhi Moja kwa Moja toka Dubai,nani anafadhili suala hili!?
  8. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika kukuza Uwajibikaji Tanzania

    Picha: RF studio DIBAJI Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili kufikia hapo walipo sasa. Teknologia ni moja ya nyezo umuhimu katika karne ya ishirini na moja ambayo...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa yanga uombe zuio mahakamani baadhi ya vyombo vya habari kuandika kuhusu yanga

    Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo Hii italeta nidhamu...
  10. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa waandishi wa habari kukubali kujidhalilisha kwa kudhalilisha taaluma yenu

    Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari. Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

    Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari. Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

    Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa. Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

    Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na...
  19. Jeska Isaga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  20. Samahani

    JamiiForums Tanzania SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
Back
Top Bottom