habari

  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kila limsemo likitoa we unalo. Sasa unamwambia nani habari za Maokoto?

    We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

    UTV haijawahi kuripoti chochote kuhusiana na mikutano ya CHADEMA inayoendeshwa na Tundu Lissu. Leo wameripoti kuhusiana na kukamatwa kwake. Hawa hawa UTV hawajawahi kuripoti kuhusiana na waraka pendwa wa TEC badala yake wakawa wanatafuta watu wenye maoni ya kupinga waraka ambao hawajawahi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lissu, habari na Propaganda CHADEMA mko wapi?

    Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa: "Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali." Sasa kitengo chetu cha habari na propaganda kipo kimyaaa ...! Nini kinaendea eneo la tukio? Sisi tulioko Lindi, Tarime au...
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania TAMWA ZNZ, MCT, wadau wa Habari watoa tamko Mjumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuzuiwa kuzungumza baada ya Kuapishwa na Rais Mwinyi

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
  7. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Sport extra; huyu dada anayereport habari kutokea Ufaransa ni mwanahabari kweli?

    Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
  8. atlas copco

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

    Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ? Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?
  10. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  11. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na ucheleweshwaji wa malipo ya mahindi

    Mimi ni mkulima ninayekerwa na ucheleweshwaji wa malipo ya mahindi. Mfano Mikoani Ruvuma Manispaa ya Songea mimi na wenzangu tulipeleka mahindi( Cpb)bodi ya Nafaka Tanzania ni kitengo cha Serikali yani mia. Mwezi sasa hatujalipwa ingawa walisema malipo yatafanyika ndani ya siku3 za kazi toka...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Azam Media kama hamuwezi Kuvumilia habari za DW Acheni Kurusha..

    Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya. Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwisha habari yetu hata misitu ya asili tunahitaji wawekezaji!

    Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje. Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hodi humu

    Hodi hodi humu.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa taarifa za habari za ITV na UTV (Azam). Je, kuna kuvujishiana habari ili kuimarisha Ushindani?

    Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile. Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

    Jana kulikuwa na tetesi kuwa vyombo vyote vya habari vimepewa amri ya kutoandika habari za waraka wa TEC. Haiwezi kuwa coincidence, yoooote yasiandike. Ni kweli Nape aliyapa maagizo ya kutoandika. Suluhisho amelindika Askofu mwamakula
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  20. Engager

    JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
Back
Top Bottom