gari

  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kuna gari hizi, suzuki escudo old, Rav4 old na spacio new 1490 cc toeni ushauri

    Toeni ushauri inahitajika moja kati ya hizo hasa ubora/ugumu, utumiajiwa mafuta, kuhimili mikiki yeyote kwa jamii zetu za kiafrica
  2. i9clsfy

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari ni kubwa kuliko bei ya gari husika kwa hapa kwetu Tanzania?

    Habari wakuu, Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi. Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia tamaa gari lako, hasa (TRA, Motor vihicle Tax)
  3. EJM_

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya IST inauzwa

    Brand: Toyota IST Year of Manufacture: 2005 Engine capacity: cc 1290 Transmission: Automatic Price: 6M Location: Dar es salaam Mwenye gari anahitaji pesa ya haraka na hakuna udalali. Unaweza kuwasiliana kwa namba 0742555000
  4. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
  6. Lemaitre

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

    Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa. Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity: 3 Mileage: 15868 Price 32 Millions Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)

    Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii gari ilifikaje hapo juu ya mti?

  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Gari la Machame Investment limepinduka laua 6 na wengine 19 wamejeruhiwa

    Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka. Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.
  10. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliomburuza na gari mama muuza ndimu wasimamishwa kazi Kenya

    Gavana wa kaunti ya Kisumu amewasimamisha kazi maafisa waliomburuza barabarani mwanamke mfanyabiashara wa matunda. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa mwanamke huyo alikataa kutoa rushwa. Alikuwa akiuza machungwa na ndimu njia ya wapita kwa miguu eneo ambalo limepigwa marufuku kufanyika...
  11. RRONDO

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Radio za gari touchscreen Inch 7

    Call/whatsapp 0656 666 662 Radio mpya ya gari touchscreen inch 7 -inasupport Bluetooth -inasupport mirrorlink -inasupport usb,memorycard -inaplay music na video kwenye flash -ina support channels zote za fm -inakuja na reverse camera -radio ina warranty -bei 140,000 tu pamoja na kufungiwa BURE...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzee aliyetoa zawadi ya Jogoo, apanda gari kuja kumuaga Rais Magufuli, Dar

    Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli. Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

    PRICE UPDATED: 6,800,000 Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean Seats Trans Automatic Imported from Japan Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
  15. ribussama

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari aina ya IST

    Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
  16. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua 1.fuel consumption 2.upatikanaji wa spea 3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
  17. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya IST inawezaje kunirudishia faida

    Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu. Ngoja niende...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

    Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen. Natanguliza shukrani.
  19. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

    Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo. Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye...
  20. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania User manual (mwongozo wa mtumiaji) ya gari aina ya toyota probox

    Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
Back
Top Bottom