Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,264
Habari wakuu.

Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.

Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.

Natanguliza shukrani.
 
Infact mm nna VW golf touran..cjawahi juta..ingawa wadau humu walisema nisubiri ianze kusumbua..ndo naisuburia ianze kusumbua nione...wabongo tu waoga sana aisee..kwan kuna Toyota ngapi zimepaki garage?

Kama unaijali gari yako na kuifanyia service kwa wakati haiwez kukuletea shida
 
Chukua Vw aisee...tatizo wabongo tunaangalia cjui spare ghali na ukutaka kuuza cjui utahangaika sana...vipuri vya Vw vipo sana tu,bei kuchangamka sio inshu..inshu ni kuwa vipuri vinapatikana...toeni uoga ku crem Toyota aisee
Kwa usalama wa maisha na afya ya akili nakushauri chagua Harrier...

Spare parts sake zinapatikana kirahisi na mafundi ni wengi pia.Hapo kwenye Touareg mafundi ni wachache ma spare ni bei changamsha akili kweli kweli.
 
Habari wakuu.

Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.

Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.

Natanguliza shukrani.
Nimetoka kwenye VW mda huu zile gari aisee.. kuna jamaa yangu aliniachia.. yaani dah.. 🙂.. kitu kimenyooka hadi raha
 
Back
Top Bottom