Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

2699s

Member
Aug 30, 2017
32
95
Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman
Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea
Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
 
Chantaburi

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
749
250
Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman
Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea
Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
Angalia pampu ya mafuta. Ijaribu ikiwa tambarare kwa kuweka hata tofali na kujaribu kulipanda. Iwapo itashindwa jua hio pampu imekufa. Nilipata tatizo hilo na nilitatua kwa jinsi hii.
 
2699s

Member
Aug 30, 2017
32
95
Ahsante kaka
Lakini kama leo asubuhi imewaka ghafla ikazima tena nikawasha ikawaka livasi inakataa ikaenda mbele na kingine nimeona kama hydraulic imepungua japo nimeweka wiki 1 imepita lakini imeshuka sana
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,426
2,000
Pia angalia kama Plugs ni nzima. Juzi kati yangu ilkua ina shida hiyo nikabadili plug ngoma ikawa mpya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom