Kuna gari hizi, suzuki escudo old, Rav4 old na spacio new 1490 cc toeni ushauri

Weka na picha ni muhimu
Haya picha hizo hapo ya picha ya kwanza ni escudo old
Yapili ni Rav4 old
Ya tatu ni spacio new 1490 cc
Weka na picha ni muhimu
Screenshot_2021-04-10-21-53-02-1.png
Screenshot_2021-04-10-21-55-12-1.png
Screenshot_2021-04-10-21-57-02-1.png
 
Spacio ni takataka unaiichanganyaje na izo mashine. Sijui kwanini umeiweka na hivyo vyuma.
Duuu! Sawa haya kati ya hizo mbili rav4 na hiyo suzuki hasa katika swala la mafuta na spare maana kuhusu uimara sina shaka nazo zote kwa mujibu wa michango hii michache.
 
Toeni ushauri inahitajika moja kati ya hizo hasa ubora/ugumu, utumiajiwa mafuta, kuhimili mikiki yeyote kwa jamii zetu za kiafrica
Hapo chukua Rav 4, hizo Suzuki escudo ni ngumu kweli ila spear zake no ghari kidogo pia upatikanaji wa spear zake ni shida kidogo maana hizo gari ni za zamani Sana ndio zinaphaze out
 
Achaneni na magari yenye miaka 25.go for jimmy kama unaweza.
 
Hapo chukua Rav 4, hizo Suzuki escudo ni ngumu kweli ila spear zake no ghari kidogo pia upatikanaji wa spear zake ni shida kidogo maana hizo gari ni za zamani Sana ndio zinaphaze out
Vipi uzoefu wako katika swala la mafuta maana ninataka hii gari nimpelekee mama mzazi

Mwanzo nliwaza nimbebee ya kisasa ndo nikaona labda spacio lakini kwa maelezo ya ndugu hapa, spacio nimeiondoa kabisaa pamoja na kwamba nilikuwa naiamini pia

Sasa machaguo yamebaki Rav 4 na suzuki lakini pia naona suzuki imeingia tena dosari sasa naona imebaki Rav4 , naona sasa nianze kui speculate hiyo nijue running cost zake na hasa mafuta tukihusianisha na na hizo zilizo baki
 
Mimi ninayo rav 4 old model, ni nzuri sana hasa kwa barabara rough road, kwanza haina tabia za kusumbuasumbua pia spea zake ni chiep Sana. Ninayo mwaka Sasa kazi yangu ni service na mafuta tu. Hizi gari zina cc 1990 so ulaji wa mafuta uko juu kidogo ukilinganisha na hizo escudo na spacio
 
Back
Top Bottom