Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,067
2,000
1. Fuel consumption: Mjini tegemea 9km/L na highway 13km/L

2. Spea sio tatizo. Zipo nyingi tu mjini.

3. Ipo chini kidogo, so barabara yenye makorongo sana itakua sio vizuri kuipeleka. Ila kama tu ni barabara ya vumbi safi, inahimili.

Ushauri:
Kama utakua unaenda nayo maporini sana sio vizuri ila kama misele yako mingi rami na soft vumbi, nunua. Ingawa bei yake sio range za IST.
 

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
95
Pitia link ifuatayo upate maelezo ya kutosha kuhusu Raum.
TOYOTA RAUM: Which Version Do You Like for Used Car?

Kwa ufupi fuel consumption kwa Raum second generation (2003-2011) ni 16.2 km/L for FF na 15km/L for 4WD itategemea barabara na hali ya gari pia. First generation (1997-2003) ni 13.8 - 12.2 km/L.
naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .
 

1701

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
858
500
Subaru ya cc1500 inakula mafuta kuliko toyota nyingi za cc1500,angalia kipato kwa umakini mkuu,nadhani sababu ni AWD i.e

all weather drive ni mfumo wa kusukuma tairi zote nne muda wote,huu mfumo nahisi ndio chanzo cha ulaji wa mafuta,otherwise ni gari nzuri.
 

barutirashid

JF-Expert Member
Jun 24, 2014
328
225
Subaru ya cc1500 inakula mafuta kuliko toyota nyingi za cc1500,angalia kipato kwa umakini mkuu,nadhani sababu ni AWD i.e all weather drive,ni mfumo wa kusukuma tairi zote nne muda wote,huu mfumo nahisi ndio chanzo cha ulaji wa mafuta,otherwise ni gari nzuri
All-wheel Drive
 

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,513
2,000
Mafuta si mbaya sana. Ipo stable sana, ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005.

Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa. Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi
 

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
95
Mafuta si mbaya sana
Ipo stable sana,ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005
Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa
Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi
Shukrani sana
 

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
95
Mafuta si mbaya sana
Ipo stable sana,ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005
Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa
Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi
Mafuta 1lt ni km ngapi!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom