Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

Lemaitre

Member
Aug 25, 2020
72
49
Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa.

Make: Eicher
Mode: truck
Model number: MC2B6
Year of manufacture: 2017
Engine Capacity: 3298
Fuel used: Diesel
Seating capacity: 3
Mileage: 15868
Price 32 Millions
Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi,
Mmiliki ni mimi mwenyewe

CCC20602-71E5-46AC-9AFA-D435F77634E7.jpeg

F419B004-CE7D-4C48-A173-35BFF42D2187.jpeg

AA70B32C-A146-49C7-A013-C70B7ED62556.jpeg
 
Hii gari kwa nini haitoki na wakati bado mpya! Jaribu kuwatumia picha madalali wa humu jukwaani ili wakusaidie. Au ndiyo wateja wamekariri gari imara ya kazi ni mitsubishi Fuso na Mitsubishi Canter tu?
Nashindwa kuelewa kwanini haitoki. Nimetafuta madalali wa humu, lakini wameshindwa kuiuza. Labda kama yupo dalali unayemfaham nisaidie mawasiliano yake
 
Nashindwa kuelewa kwanini haitoki. Nimetafuta madalali wa humu, lakini wameshindwa kuiuza. Labda kama yupo dalali unayemfaham nisaidie mawasiliano yake

Bei kubwa ningenunua kwa kazi zangu za msimu maana hapo body lazima nibadilishe
 
Hi
Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa.

Make: Eicher
Mode: truck
Model number: MC2B6
Year of manufacture: 2017
Engine Capacity: 3298
Fuel used: Diesel
Seating capacity: 3
Mileage: 15868
Price 32 Millions
Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi,
Mmiliki ni mimi mwenyewe

View attachment 1741488

View attachment 1741489

View attachment 1741490
Hio gari si ya kampuni mkuu, unaiuza kwa minajili ipi?
 
Bei mbaya. Labda hujafikiria 32 milions inaweza nunua nini kingine. Kwa pesa hiyo unaweza pata Nissan Civilian 'mpyaa' kutoka Japan.
Au Mitsubishi Canter; ambazo ni gari za uhakika. Hiyo ni ndoa ya Kikristo mkuu!
 
Mkuu hiyo bei nimeishusha sana. Lakini hakuna kitakachoshindikana, kama uko tayri we nambie tuzungumze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom