gari

  1. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  2. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  3. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Zifahamu sababu chache za gari zinazitumia Diesel kuwa bei juu

    SABABU ZA GARI YA DIESEL KUA BEI JUU KULIKO PETROL Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari 1. Uzito wa mafuta ya Diesel unaopelekea gari kutumia mafuta chini zaidi kwa wastani wa asilimia 15 mpaka 20 kulinganisha na gari za Petrol. Mfano, BMW X5 ya Diesel Cc 3000 inakadiriwa kwenda km 11...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mvua ikinyesha utakimbilia nini kati ya hivi viwili?

    Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri. Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo

    Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya. MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana. Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980. Shukran.
  9. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Gari hii inafaa?

    Naomba wataalam mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
  10. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Sahihi kwa Askari kukagua Gari likiwa gereji?

    Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza. Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  12. ISACOM

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na gari hizi: Raum New Model, Suzuki swift, Ist. Anitajie changamoto zake

    Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  14. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

    Zipo spark plug za aina nyingi sana. Yapo mambo mengi sana yanayoweza kutofautisha spark plug za gari na gari jingine. Mambo hayo ni 1.Material yaliyotengeneza hizo plug (iridium copper n.k) 2. Urefu wa thread (nyingine zinakuwa na thread ndefu nyingine fupi) 3. Gap (nyingi zina gap la...
  15. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Experience yangu mbaya na gari za Toyota

    Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya kama BMW, Land Rover na VW na gari za US kama Jeep na Ford. Experience yangu mbaya kwenye kufanya...
  16. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Hivi ukigundua umeibiwa funguo ya gari unafanyeje?

    Juzi usiku mnene kuna kibaka/vibaka waliruka ukuta wakaingia maskani. Fast forward: Alfajiri niliamka nikakuta madirisha (vioo) vimefunguliwa. Sebuleni wakaiba box la simu (wakidhani kuna simu ndani), chumbani wakachomoa kadeti zangu nne, mashati mawili yalikuwa karibu na dirisha. Lakin pia...
  17. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

    Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
  18. Mech engineer

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari, fixed budget ya 5.5m

    Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM. Napendelea awe mmliki na sio dalali. Asanteni
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo kata ya msigani mtaa wa kwa Yusuph. Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja...
Back
Top Bottom