User manual (mwongozo wa mtumiaji) ya gari aina ya toyota probox

Nkuruvi

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
563
536
Wakuu,

Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa.

Asante
 
Hiyo gari ilitengenezwa kwa ajili ya soko la ndani la Japan.

Hivyo manual yake itakuwa kwenye lugha ya kijapani au kirusi.

Manual za Kiingereza zipo ila andaa kuanzia $60 ndio unaweza kuipata.
 
Back
Top Bottom