gari

  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Natafuta Garage au mafundi bora wa Bodi na Engine za gari za Kijapani, Mwanza.

    Ndugu zangu habari zenu nyote... Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza.... Nimepata taabu sana kwenye eneo hili. Kuna wakati nilipelekwa gereji moja na rafiki yangu nmoja. Mafundi wa pale...
  2. Kasie

    JamiiForums Tanzania Kweli Gari Mbovu Husukumwa na Nzima

    Habari za jumapili waungwana... Ndio kumeshakucha saa hii na leo ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa pili. Kwa hiyo taswira hapo chini, nimeamini gari mbovu husukumwa na gari nzima. Huyo wa katikati anajua kuchenjua, bila kupiga ukope unaona mpaka kidaka mwiko...😜 machejo yamelala yanatolewa...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwenye kuagiza hii gari wakuu.

    Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa. Naomba uzoefu wenu kwenye hili. Ahsante
  4. BuDDaH MBiSHi

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazoathiri matairi ya magari

    TAIRI Ni sehemu ya nje ya guruudumu Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua: Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka. Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tiger Wood apata ajali mbaya ya gari, akimbizwa hospitali

    Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia...
  6. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari kuliwezaje kukupa michongo na kukutoa kimaisha?

    Habari wakuu, Nataka mitazamo yenu wenye experience na mambo ya gari. Hivi uliwezaje kupata mchongo na kutoka kimaisha kabisa, either kupitia gari mtu kukusaidia au gari lenyewe kukusaidia, nasubiri experience zenu wakuu mfunguke.
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kama hii ila iwe ya kijani mpauko nahitaji kwa haraka sana

  8. C

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nisaidie nitapata wapi hii spare ya gari

    Jamani natafuta air mass sensor ya Nisan serena make ya 1997. Nitapata wapi au mwenye nayo tuwasiliane inbox tuyajenge. Air flow sensor for NISSAN SERENA (C23M) 1992–2001 2.0 16V, Petrol SR20DE , 93kW Change vehicle Results found: 1 Air Mass Sensor Denso DMA-0214 Item code: AL604740...
  9. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

    Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu? Toyota IST Toyota Alex
  10. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Je, CC za engine pekee ndio zinaamua ulaji wa mafuta wa gari?

    Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari. 1. Aina ya gearbox iliyotumika Aina ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kujifunza Gari ya Manual kwa Msichana

    Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu. Mpaka sasa nina week moja, tushafundishwa gia ya kwanza ya pili na ya tatu na reverse (gia ya kurudi nyuma). Kwa ujumla naendelea vizuri kwa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  15. P

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
  16. BuDDaH MBiSHi

    JamiiForums Tanzania Matengenezo matatu ya magari ambayo kila mwenye gari anapaswa kujua

    Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini. Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza. 1. Betri Iliyokwisha...
  17. Requal

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
  19. NAREI

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Chagua gari ulipendalo hapa kwa bei nzuri

    Habari wadau na wanajukwaa kwa ujumla. Nitakua naleta gari ninazotumiwa na maboss wanaouza gari zao kutoka sehemu tofauti tofauti. Ungana nami sasa. TOYOTA VITZ clavia Cc 1290 Engine vvti Price: 6m Location: Mbezi Mobile: 0785 857564
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ndogo inatikisika yenyewe tu parking hapa Villa Park

    Hapa villa park Mwanza kuna gari ndogo ipo kwenye parking naona inatikisika yenyewe tu. Najaribu kuangalia kwa mbali kama kuna watu kwa ndani ili niweze kuwaokoa labda kuna tatizo. Gari ina tinted sioni vizuri. Nikiona hali inazidi nitawaambia walinzi
Back
Top Bottom