Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo.

Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye akaamua kuingia kichwakichwa na kulinunua.

Sikandii aina fulani ya magari, Ila ninachoweza kusema ni vema kununua gari kulingana na mahitaji yako. Au kigezo cha kwanza kabla mtu hajanunua gari ni vizuri akaweka vipaumbele vyake mbele, hii inaweza kumsaidia sana kupata kile anachokitaka kwa usahihi.

Gari si tu kile unachokiona kinatembea barabarani, Je unahitaji nini? Matumizi mazuri ya mafuta?, Kuchanganya haraka?, Speed kubwa? Space kubwa ya kubeba watu/mizigo?, Unafuu wa gharama za vipuri?, Durability? na mengine mengi.

Pia gari zinakuwa na Variants, ni kama tu ilivyo kwa bidhaa zingine, Unaweza kununua simu ina Storage ya 32GB, 64GB, 128GB, 256GB, n.k. Hata gari pia zipo kwa mtindo huo japo Variant za gari fulani mara nyingi huwa zinakuwa kwenye engine iliyofungwa.

Kwa mfano tuchukue Variant mbili za Nissan Fuga toleo la pili, wana gari ina engine ya VQ35VHR ambayo ina Cc3500 na nyingine ina VQ37HR ambayo ina Cc3700 (Zote ni engine za petrol). Hiyo ya Cc3500 ni hybrid na inaenda mpaka 19Km kwa lita ukiwa highway wakati hiyo ya Cc3700 inaenda mpaka 9Km tu kwa lita. Utofauti ni mkubwa sana. Japo kwa nje gari hazitofautiani maumbo.

Mfano mwingine ni gari aina ya Toyota RAV 4 toleo la tatu(Miss Tz). Hii gari imetoka na variants 8 zikiwa na engine 8 tofauti ambazo Cc zake zinaanzia 2000 mpaka 3500. Yaani kuna rav 4 ina engine ya 2GR ambayo imefungwa kwenye Toyota Crown Athlete. Zipo zingine zina 2AZ-FE kama Vanguard na nyingi zilizozoeleka zina 1AZ-FE au 1AZ-FSE.

Hivyo ni vema kujua ni nini unataka, kabla ya kufanya maamuzi.

*************##############************

KAMA UNAHITAJI GATI USED IWE MKONONI AU YARD TUWASILIANE, TUKUTAFUTIE GARI ZURI MAANA TUNAFANYA DIAGNOSIS NA KULITEST KAMA LIKO SAWA.

*************############***************

PIA KWA WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA MAGARI, TUNAFANYA:

1. FULL SYSTEMS DIAGNOSIS (GHARAMA NI TSH. 40,000/= TU KWA GARI HIZI, TOYOTA, NISSAN, SUZUKI, SUBARU, JEEP NA FORD).

2. ENGINE DIAGNOSIS KWA BRAND YOYOTE YA GARI. GHARAMA NI TSH. 20,000/= TU.

3. KUREKEBISHA MATATIZO KAMA GARI KUKOSA NGUVU, ENGINE KUMISI, KUWASHA TAA YA CHECK ENGINE, MATATIZO YA AUTOMATIC GEARBOX N.K.

SIMU: 0621 221 606

Whatsapp: wa.me/255621221606

Nipo Magomeni Mwembechai Dar.
 
mimi sijawa tayari kununua gari,ila nawaambia siku nikiamua kununua basi sitanunua gari lisilobugia mafuta.

kuna BMW moja niliiona kama ya jux ni V8 ile gari,inauzwa milioni 11used,nikajisemea hii ndio gari niliyokuwa naitafuta sema siko poa kwa sasa.
 
Hata gari zenye maengine makubwa ni nzuri. Kama kwa mizunguko ya mjini chukua petrol. Kama kwa road trips chukua diesel.
 
Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo.

Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye akaamua kuingia kichwakichwa na kulinunua.

Sikandii aina fulani ya magari, Ila ninachoweza kusema ni vema kununua gari kulingana na mahitaji yako. Au kigezo cha kwanza kabla mtu hajanunua gari ni vizuri akaweka vipaumbele vyake mbele, hii inaweza kumsaidia sana kupata kile anachokitaka kwa usahihi.

Gari si tu kile unachokiona kinatembea barabarani, Je unahitaji nini? Matumizi mazuri ya mafuta?, Kuchanganya haraka?, Speed kubwa? Space kubwa ya kubeba watu/mizigo?, Unafuu wa gharama za vipuri?, Durability? na mengine mengi.

Pia gari zinakuwa na Variants, ni kama tu ilivyo kwa bidhaa zingine, Unaweza kununua simu ina Storage ya 32GB, 64GB, 128GB, 256GB, n.k. Hata gari pia zipo kwa mtindo huo japo Variant za gari fulani mara nyingi huwa zinakuwa kwenye engine iliyofungwa.

Kwa mfano tuchukue Variant mbili za Nissan Fuga toleo la pili, wana gari ina engine ya VQ35VHR ambayo ina Cc3500 na nyingine ina VQ37HR ambayo ina Cc3700 (Zote ni engine za petrol). Hiyo ya Cc3500 ni hybrid na inaenda mpaka 19Km kwa lita ukiwa highway wakati hiyo ya Cc3700 inaenda mpaka 9Km tu kwa lita. Utofauti ni mkubwa sana. Japo kwa nje gari hazitofautiani maumbo.

Mfano mwingine ni gari aina ya Toyota RAV 4 toleo la tatu(Miss Tz). Hii gari imetoka na variants 8 zikiwa na engine 8 tofauti ambazo Cc zake zinaanzia 2000 mpaka 3500. Yaani kuna rav 4 ina engine ya 2GR ambayo imefungwa kwenye Toyota Crown Athlete. Zipo zingine zina 2AZ-FE kama Vanguard na nyingi zilizozoeleka zina 1AZ-FE au 1AZ-FSE.

Hivyo ni vema kujua ni nini unataka, kabla ya kufanya maamuzi.

*************##############************

KAMA UNAHITAJI GATI USED IWE MKONONI AU YARD TUWASILIANE, TUKUTAFUTIE GARI ZURI MAANA TUNAFANYA DIAGNOSIS NA KULITEST KAMA LIKO SAWA.

*************############***************

PIA KWA WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA MAGARI, TUNAFANYA:

1. FULL SYSTEMS DIAGNOSIS (GHARAMA NI TSH. 40,000/= TU KWA GARI HIZI, TOYOTA, NISSAN, SUZUKI, SUBARU, JEEP NA FORD).

2. ENGINE DIAGNOSIS KWA BRAND YOYOTE YA GARI. GHARAMA NI TSH. 20,000/= TU.

3. KUREKEBISHA MATATIZO KAMA GARI KUKOSA NGUVU, ENGINE KUMISI, KUWASHA TAA YA CHECK ENGINE, MATATIZO YA AUTOMATIC GEARBOX N.K.

SIMU: 0621 221 606

Whatsapp: wa.me/255621221606

Nipo Magomeni Mwembechai Dar.
Habari naomba ushauri wa gari

Budget yangu maximum million 12,

Nataka kuagiza gari

Sifa nnazotaka
1. Iwe ni SUV
2. Engine CC isizidi 1800, kuzingatia matumizi ya mafuta
3. Iwe common Brands ili hata utafutaji wa spare parts usiwe wa tabu
4. Durability nzuri
5. Automatic transmission
6. 2 wheel drive
7. 5 doors

Naomba kujua options ambazo ninaweza kupata kutoka kwenu
 
Kiukweli nimekosa chaguo kukupa.
 
Chukua Subaru forester kamwe autajuta

Ila itabidi uongeze hela kidogo
 
Habari naomba ushauri wa gari

Budget yangu maximum million 12,

Nataka kuagiza gari

Sifa nnazotaka
1. Iwe ni SUV
2. Engine CC isizidi 1800, kuzingatia matumizi ya mafuta
3. Iwe common Brands ili hata utafutaji wa spare parts usiwe wa tabu
4. Durability nzuri
5. Automatic transmission
6. 2 wheel drive
7. 5 doors

Naomba kujua options ambazo ninaweza kupata kutoka kwenu
Option uliyonayo ni nissan xtrail ila inabid uongeze 3M au 2M maana nyingi zinaanzia 13.9 mpaka 15M ikiwa utanunua kwenye showroom ila ukiagiza mwenyewe inaweza kuwa chin ya hapo
 
Back
Top Bottom