gari

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara inakuja. CHADEMA msidandie gari kwa mbele

    Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa. Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka...
  2. Nova Co Ltd

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi tunaomiliki gari tukutane hapa kwa kuuziwa spare

    Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada. Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

    Ndugu zangu Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker? Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala? Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu? Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila...
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3- Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4- Muonekano mzuri na imara. 5-...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Pata huduma ya kufungiwa GPRS kwenye chombo chako. Pikipiki, bajaji, gari

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  6. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari: Toyota Cresta for only 3.8million

    Toyota Cresta Automatic Gear Full Ac Full paid Full documents Cc 1980 Yom 1999 Engine Ni 1g Kavu Big music inside All Tyres are NEW Price Ml 3,800,000/ Note Gari Ni YANGU na Bei haipungui maana haina tatizo lolote inaonekana Muda wote Kimara Mwisho 0744033555
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hizi gari Toyota Prado ex naomba kujua kwa undani

    Mafuta KATI ya diesel na petrol ipi nzuri, Pia vipuri vyake, comfortability yake nk
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rorya abadili rangi ya gari la kubebea wagonjwa kwa kile alichoita maslahi mapana ya wananchi wake

    "Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao. Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Ili gari yenye gearbox ya automatic(automatic transmission) iweze kubadilisha gear kuna taarifa kuu mbili ni lazima zipokelewe na mfumo wa kompyuta(control unit) ndio gear zitaweza kubadilika. Taarifa hizo ni:- 1. Speed ambayo driving shaft/tairi zinazunguka. 2. Speed ambayo engine...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Huu ni uharibifu wa magari na pia inapunguza sana thamani ya Gari. Acheni kufanya hivi.

    Nmeona gari nyingi sana zikepigwa misumali flani hivi ya silver milangoni,madirishani na sehemu mbalimbali za gari. Sijaelewa huu ni urembo wa aina gani. Nmeuliza nimeambiwa mnaita "libiti" Pia hata wengine wanachora chora namba kwenye vioo.najiuliza why uharibu gari kwa vitu vya hovyo...
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Bima ya gari imekuwa anasa!

    Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party'). Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara hawajawahi kuona gari aina ya Fuso!

    Kwanza nauliza mbunge wa Newala ni nani na anatokea chama gani cha siasa? Nimeona kupitia kipindi cha Taarifa ya habari ITV wananchi wa kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara wakilalamikia ubovu wa barabara katika kata yao na kwamba hawajawahi kuona Fuso zaidi ya kuziona luningani...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  14. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa funguo za gari na programming kwenye immobilizer

    Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1. Kunitengenezea...
  15. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

    Hali ya Tz kwa sasa, Ukaguzi wa gari unafanyika hapa hapa Tanzania na sio kufanyikia kwenye nchi unayoagizia gari kama japan. sheria mpya ni kwamba gari halikaguliwi kwenye nchi linapotoka, linakaguliwa likifika hapa tz. Sasa mimi nataka gari ikaguliwe huko huko japan, sitaki gari niliyoagiza...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nachohofia TBS ukaguzi wa magari ni mambo ya kutoa kitu kidogo au connections ili gari isikaguliwe miezi au kuambiwa ni bovu uingie gharama

    Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza. Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari. Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

    Kuna mambo mawili makubwa ambayo yanaamua upate madhara kiasi gani pindi unapopata ajali ya gari. 1. Speed Hili ndio watu wengi wanalifahamu. Kikawaida unapoendesha gari, uwezekano wa kupata majeraha makubwa au kifo huongezeka mara dufu unapovuka 70Km/h. Sitajikita sana katika kueleza hili...
  18. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania New York: Mwizi wa gari atishia kuita polisi baada ya kukuta mtoto ameachwa kwenye gari aliyoiiba

    Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto. Baada ya kumkuta mama na mtoto akatishia kuita polisi kwa uzembe wa mama wa mtoto kuacha mtoto peke...
Back
Top Bottom